Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
UDA ya ukweli hii........1980
Hizo National nakumbuka zilikuwa zinapatikana kwa mgao kwenye maduka ya RTC!Tulikuwa tunasikiliza redio kama hii hasa Philips na National
Kina mama zetu walikuwa hivi wanawapenda baba zetu na ndoa zao zilidumu sio leo hii balaa tupu
UDA ya ukweli hii........1980
Safi sana....hakuna foleni wala nini...na hapo ni posta ya zamani....hilo IKARUS limenikumbusha mengi...niligongwa nalo 1975 wakati nalishangaa
Duh! Hii sasa member wa JF ka scan picha ya mama yake na kuiweka hapa!
Waoooo!!! You have taken so far for uploading this, tulikuwa tukienda kwa mwenyekiti wa kijiji kusikiliza mpira na taarifa ya habari kupitia RTD...
Thanks for making my day!
Vijana wakiwa tayari kuingia "The Cave Disco" enzi hizo
Ndani ya RUSH between two A's enzi hizo mambo yote yalikuwa mpwito
Je una picha ya Enzi zile au kumbukumbu yoyote ya zamani, weka kwenye thread hii.... KARIBUNI
akina mama wanavutia na mavazi yao ...
Ni kweli hao ni madada wa Zanaki wa Kisutu wao walikuwa wanavaa tunaita sketi za rangi ya zambarau. Mdau umepatia Zanaki walikuwa na Tambaza, Jangwani na Azania. Ujiko ilikuwa kumpata mtoto wa Forodhani(wao ndio walikuwa watoto wa kishua aka ndizi nyama)
Hiyo ndege waliipandaje? Maana kukaa tu mi bichwa yao imegusa bodi kwa juu!Bomba! hivi hiyo ya kwenye ndege ni JK na Mwandosya?