B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,573
- 3,254
mkuu unataka kusoma kama news paper au.....pole dogo naona ndio ilikuwa mwisho wa elimu yako, au? maana posti yako ngumu kusoma
mkuu unataka kusoma kama news paper au.....pole dogo naona ndio ilikuwa mwisho wa elimu yako, au? maana posti yako ngumu kusoma
Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.
Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako, unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.
Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote. Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.
Waligawana msosi wao wawili wakatosheka, baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.
Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
dah ucpime, TARIME SEC kulikua na dogo mchawi toka ukerewe, siku moja mpirani c akakwatuana na mshikaji pande la mtu mkurya, huwezi amini alimtupia mwenzie radi, Mungu mkubwa mshkaji akapona!
dah ucpime, TARIME SEC kulikua na dogo mchawi toka ukerewe, siku moja mpirani c akakwatuana na mshikaji pande la mtu mkurya, huwezi amini alimtupia mwenzie radi, Mungu mkubwa mshkaji akapona!
Enzi za Malissa, sitasahau siku tumefanya uchaguzi afu Mpande akatukanwa kwenye vikaratasi vya kura.Mpande Namkubali sana!! Mwingine ni Mboya a.k.a Commando. Je wewe ulikuwa enzi zipi? Malale,Kimario,Malissa au Kisuu?Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ili kuwa mwaka gani ?Enzi za Malissa, sitasahau siku tumefanya uchaguzi afu Mpande akatukanwa kwenye vikaratasi vya kura.
Nafikiri ilikuwa 2001 au 2002, mpande kasimama kwenye ukuta wa mesi ya Karume muda wa rolcall akaanza kuyasoma. Mpande unat...wa, Mpande unaf..., Mpande una.... . Wazenji wanamuomba asiendelee kusema ye anakazana tu niacheeni niseme. Dah enzi zile nourma sanaili kuwa mwaka gani ?
Nafikiri ilikuwa 2001 au 2002, mpande kasimama kwenye ukuta wa mesi ya Karume muda wa rolcall akaanza kuyasoma. Mpande unat...wa, Mpande unaf..., Mpande una.... . Wazenji wanamuomba asiendelee kusema ye anakazana tu niacheeni niseme. Dah enzi zile nourma sana
Duh, basi mi nakumbuka tukiwa Old Moshi sec...
kwanza ni bifu tulilokkua nalo na Moshi tech...yani kuna siku tulitembea mpaka huko Moshi tech..kuanzisha vita tu!
Ila nakumbuka zaidi nilipoingia form one nikaitwa na majamaa (na walikuwa wakurya.. kutokana na lafudhi zao-afu nikakumbuka stori nlizokua nasikia kuhusu wakurya ati wakija kusoma sekondari ni wababa kabisa na wao vita ni jambo la kawaida kwao)
basi wakaniita nje ya bweni pale Hanang...wakanipa kiatu kinachonuka uvundo..wakasema nipige simu nyumbani nimwambie baba pesa zimeisha...kwa hiyo nikajifanya ninaongea na baba yangu. Basi nikatunga stori nilipokata simu nikawaambia amesema, atanitumia baada ya muda. Hivyo wakajifanya wana huruma sana...wakanipa shilingi mia, wakasema dogo kajinunulie maandazi na soda ila kabla hujanunua uje na maziwa na mkate mkubwa...duh! nilitoka jasho....
ilibidi niingie bwenini nichukue pesa zangu nikawanunulie...!!!!
tangu siku hiyo...mimi na njia ya hanang siendi...
sanasana nilikua natembea na wale majamaa vipofu, ukiwa nao hawakusumbui...hicho ndo kilichonisave....GUD OL' DAYZ....Auld Lang Syne...
Dah nimefurahi sana kuona
nawe mkuu Mentor ni alumn wa Old Moshi...Old
is Gold, Mawenzi, Hanang, Meru, Shengena and Kibo Forever!!!!!
Mkuu hapo kwenye red ni bweni la Ilboru au shule ingine?
Nakumbuka Umbwe Sec siku ya kwanza kufika tu, walituita "njuka" jamaa mmoja alinifata nikiwa juu ya kitanda pale dom 4, akaniambia kuwa "oya dogo unanilipa hela yangu lini" nikamuambia ipi, akanijibu , si ya hizi ndala ulizovaa? au ni zako? kuanzia leo hizo ndala ni zangu na nimekuuzia tayari na unipe hela yangu haraka, kwanza nipe sabuni na taulo nikaoge (huku akinivua zile ndala mpya za Umoja - 1997) akazichukua na kutokomea nisikokujua, ila brother mmoja akaniambia kuwa usijali nitakuonesha anapolala utaenda kuzichukua, duh kaka mbona niliona shule chungu.....
Kuna jamaa alikuwa anaweza kubeba madishi mawili kwa pamoja, moja mkono wa kulia na lingine mkono wa kushoto. Jina lake Lobilo. Mwalimu mmoja alikuwa anafanana naye, hivyo akabatizwa hilo jina la Lobilo. Miaka mingi baddaya akabakia na hilo jina, analichukia, lakini bado wanamwita Lobilo. Akajaribu kila kitu, akalia parade ground, bado haikusaidia, amabakia Lobilo.
enzi hzo ndan ya ikizu.kipindi cha kiangaz maji yalikuwa ya shida sana.ikawa tunaoga mtoni,kwa kuwa hatukuwa na taulo tunatembea naked kuelekea skonga ili mkaukie njian mvae nguo hii ndiyo ilikuwa tabia.day moja tukiwa kama ppipo kumi na tana tuko naked tume tumejipanga njiani tumetoka kuoga na kufua mton kama kawa tukakutana na akinamama nao wanaelekea mtoni wako na watoto wao wa kike na kiume,hakuna aliyepisha njia walivyoona tuko naked halafu hatupishi njia wakakimbia.
kwa waliosoma mawenzi sec ilikuwa tunapata luch shule ila wavulana waliokuwa bweni walikuwa wanamind hivyo walikuwa wanaenda kunachukua madishi hata ya madarasa matano wanaenda kuyaficha wanakula badae ila walikuwa wakikamatwa wanaletwa assembly cha kushangaza kila dishi walikuwa wanakula watu wawili .
Halafu kulikuwa na wengine wanaenda jikoni wanachota krimu wa juu kwenye sufuria ya maharage
Kwa kweli thoz dayz a nice 2 remember