kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 151
Nili kamatwa na second master katikati ya shamba la mahindi nmekoka moto nachoma mahindi. but nliyamaliza. ilikua 1997 form two.
hahaha bro umenikumbusha mbali.. dah!! boys kulikuwa na vituko
Hivi kwanini viranja wa misosi na wanafunzi wanaogawa gawa misosi jikoni huwa hawafanyi vizuri ?
Hii ishu nimeiona kama miaka mitatu hivi niliyokaa shule ya bweni!
hilo ulosema ni kweli mwenyewe hilo jambo nimeliona sana yaani aliyefaulu kapata IV 27
mi nimeona sifuri za 20 na 21 nyingi tu kwa viranja wa jikoni na wapakuaji wa misosi!
sijui hawa jamaa wanaathiriwa sana na ule moshi ama kila wakati wanawaza tu kula top layer? lol..
Hahahah unakumbuka KIMUKI?Mi nilikuwa nashangaa sana,Tanga tech siku ya vyoo vya shimo kuzibuliwa,yanatolewa mawe,magunzi,sahani,vijiko,vikombe n.k,sasa sijui watu wanakula msosi na kunywa chai chooni au hivi ndo vifaa alternative vya kutawadhia,na cha ajabu zaidi ukutani kuna maandishi,herufi zimeundwa vizuri sana kwa kinyesi!
mkuu na wewe ulilinda KIMUKI?Hahahah unakumbuka KIMUKI?