Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,209
Daaaah mazengo sec vyoo vilikuwa vimejaa,halafu harufu ilikuwa kali sana kutokana na wengi wetu kutumia makaratasi badala ya maji,pia hii ilipelekea kuibuka ugonjwa wa fangasi za korodani almaarufu kama "pumbu erosion",ndugu zangu ugonjwa huu ulikuwa hatari,ilitakiwa ili kuukwepa kila ukiingia kujisaidia uvue nguo zote na ukitoka uoge na ujikaushe vizuri.Dawa ya hii kitu ni spirit,sasa hapa ndio utajua shunguli yake.Ilikuwa ukipaka spirit kwenye korodani zilizoathirika maumivu yake ni sawa na mtu kawasha njiti ya kiberiti na kusogeza kwenye ikulu yako.
It was funny sana kumkuta mtu anajitibu,utacheka sana.>>
It was funny sana kumkuta mtu anajitibu,utacheka sana.>>