Nawezaje kujitoa katika mahusiano ya zamani?

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekuwa najiuliza maswali mengi pasipo kupata majibu, Jambo ambalo limekuwa najiuliza Kwa habari ya mahusiano hasa ya wanandoa na mahusiano ya kawaida.

Kitu ambacho katika jamii kinakwenda kwa kasi sana ni watu kutamani mahusiano ya zamani (X-reationship) kuliko mahusiano ya sasa.

Sijajua sana tunachukuliaje swal la ndoa ila nachoona ni kwamba badala ya ndoa kuwa baraka imekuwa kama achievements fulani hivi kwamba na mimi nimeoa au kuolewa jambo ambalo sio sahihi.

Maisha ya ndoa ni kama safari ya wana wa Israeli kwenda nchi ya ahadi nchi ya Kanaani, mnapokuwa mnataka kufunga ndoa kwanza kuna kuwa na matarajio hakuna ndoa ambazo hazina matarajio kila mmoja anakuwa na Matarajio yake.

Wakati ana wa Israeli wanamlilia Mungu kutokana na utumwa mgumu wa misri, Mungu alijua ni wakati wa kuwachukua na kuwatoa chini ya utawala wa Miungu ya Misri.

Kitendo cha Mungu kuwatoa wana wa Israeli kweli nchi ya Kanaani ni kama kumchukua mwanaume au mwanaume kutoka katika mahusiano mengine na kuingia naye kwenye ndoa.

Mara nyingi mmoja au wote ambao tunakuwa katika wale ambao wanataka kufunga ndoa mmoja au wote wanakuwa katika mahusiano kadhaa yaliyopita na ayakwenda sawa ndio maana hayakufika kwenye ndoa.

Sababu kubwa za ndoa kuvunjika au manandoa kukosa uhaminifu sababu inaanzia siku ile wanapoingia kwenye ndoa.

Wakati Mungu anasema na wana wa Israeli kwenda kanaani alikuwa anasema juu ya uzuri wa kanaani kwamba ni nchi yenye maziwa na asari kama leo hii tunaposema katika mahusiano kwamba ndoa yetu itakuwa ni ya furaha siku zote.

Ukweli juu ya nchi ya ahadi, hakuna kufikia nchi ya ahadi pasipo kupita nchi ya jangwa, pasipo kukutana na vita na pasipo kukutana na nyoka na ng'e wa jangwani.

Makosa ya wanandoa

Kosa la Kwanza - Kuingia kwenye ndoa na fikra za Misri

Kuna watu wanaingia kwenye ndoa lakini fikra zao za Kimisri hazijawaondoka nafsi mwao na mwisho wa siku safari ya kwenda kanaani inakuwa ngumu sana.

Fikra za Kimisri, ni kufanya ulinganifu wa mahusiano yako ya sasa na ya nyuma, hizo ndio fikra za Misri ndio maana leo unaskia mtu kaolewa lakini kesho kafumaniwa au kuoa lakini bado anaedeleza mahusiano na maex wake.

Fikra hizi za Misri ndizo zinazozuia fikra za kanaani kuingia katika ndoa ili wanaodoa kutamani Kanaani kuliko Misri.

Fikra za Misri ni jinsi mlivyokuwa hapo mwanzo kabla ya kuingia kwenye ndoa, kuna watu wanafikiria yale maisha ya Misri yataendelea tena Kanaani.

Kuna maisha ya Misri, kuna maisha ya jangwani na kuna maisha ya Kanaani, maisha ya Misri ayafanani na jangwani wala hayakufanana na Kanaani.

Maisha ya Misri yalikuwa yako chini ya utumwa, ni maisha ya maex ambayo unakuwa huru kufanya inachoweza kufanya, maisha ambayo yako chini ya Maisha ya Misri nayafananisha yake maisha ambayo unakuta mmoja katika mahusiano alikuwa ndio anatoa kama ni matumizi anatoa, kama ni out, dinner etc maisha ambayo kuna mtumwa na mtawala mtumwa anakuwa hana mamlaka juu ya mtawala wala mtawala anamalaka juu ya mtumwa.

Maisha hayo ni yale ambayo kama ni mwanamke au mwanaume anaweza kutumia mshahara wake Kwa siku 2 na asione shida, maisha ya kuwasiliana siku nzima 24/7 unaweza hata kukesha barabarani Kwa ajili ya mwingine.

Maisha ya kujitoa kwa ajili ya mwingine, maisha ya mshumaa, kazi ya mshumaa ni kutoa mwaga wakati wenyewe unateketea.

Maisha hayo ni ya hatari kwa sababu katika hayo maisha fedha inakuwa haina thamani, muda hauna thamani, umimi hauna thamani, huko tayari kwa lolote kwa ajili ya mwenzake.

Hatua ya pili - Maisha ya jangwani
Maisha haya ni maisha ya kubadili fikra za watu kutoka Misri ili kujiandaa kwenda Kanaani.

Hapa ndipo ndoa nyingi zinavunjikia hapa, watu ambao wako kwenye mahusiano hawataki kutoka Misri hapo ndipo unaposkia mahusiano ya zamani yanaendelea.

Maisha ya jangwani ni maisha ya kubadili fikra, maisha ya vipaumbele, maisha ya mipango na maisha ya uhakisia na majaribu ili kupima imani zilizoko ndani ya wanandoa.

Wana wa Israeli walikutana na kiu ya maji mara 3 na zile kiu ni Mungu akitaka kuona imani zao kwake.
 
Nj
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekuwa najiuliza maswali mengi pasipo kupata majibu , Jambo ambalo limekuwa najiuliza Kwa habari ya mahusiano hasa ya wanandoa na mahusiano ya kawaida

Wana waisraeli walikutana na kiu ya maji mara 3 na zile kiu n Mungu akitaka kuona Imani Zao kwake
Njia ni moja pekeyake,

unajitoa kadiri ulivyo jiingiza. Full stop.
 
Kwenye ndoa kila mmoja inamajaribu yake katika kujenga fikra za kanaani, hapo ndipo unapojua uhakisia wa Mambo

Kipindi hiki kile tabia inaweka misingi kwenye mioyo ya wanandoa na hapo ndipo kunakuwa na misuguano ya hapa na pale na ili kutoa fikra za Misri kuna Mambo mawili

Fikra za Kwanza
Mahusiano ya kingono

Mahusiano ya kingono kabla ya ndoa ndio hapo yanakuwa na nguvu Sana kwenye ndoa kabla ya kwenye ndoa

Sababu mahusiano yaliyopita kuwa na nguvu baada ya ndoa ni Kwa sababu

MTU aliyeoa anakuwa ametangaza kuingia katika agano na Mungu,inapoingia agano wakati kuna maagano uko nje uliyafunga na ukuyaondoa yanakufuata

Home work pitia hukumu yoyote za kimahakama kama kuna ndoa iliwaikufungwa mahali na haikuwa kuvunjwa akiingia MTU mwingine kwenye hiyo ndoa mahakama haimtambu ingawa anaweza kuwa na uhalali w kimwili WA kufanya chochote kwenye ndoa Ila Sheria haimtambui hivyo hivyo Kwa MTU ambaye ameoa lakini alikuwa na mahusiano uko nyuma ataruhusiwa kuoa kisheria lakini nafsi yake itatawaliwa na mahusiano ya nyuma

Kuna misemo ulishawai kusikia kwamba watu hawaachani kuna kupashana vipolo etc vitu hivyo vnatokea Sana Kwa sababu watu awakwenda mahakamani za mbinguni kutangaza wameo ili ndoa ya hapo awali kufutwa na Mungu kuwabariki katika ndoa mpya

Biblia inasema mwanamke anapokutana na mwanamke wanakuwa nafsi moja, maana yake nafsi ya mwanamke inaingia ndani ya mwanaume na ya mwanaume inaingia ndani ya mwanamke

Kwa hiyo kama ulikuwa na maex 10 maana yake ndani yako kuna wanawake 10 ambao wako ndani ya nafsi yako na unapokutana na huyo mke wako ndani ya nafsi yako kunakuwa na ugomvi ambao haushi

Nafsi ndio engineer ya mwanadamu ndio inayokuongoza upende mwanamke mrefu au mfupi mnene au mwembaba , mpole au muongeaji, inakuongoza katika Maisha ya kila siku

Ndio maana unapoamka asubuhi unaoga unavaa unakwenda kwenye shughuli hiyo ni kazi ya nafsi ili uweze kuwa na mahusiano mazuri ni lazima ndani ya nafsi yako kuwa na MTU mmoja na sio 100

Unaweza kuyakaamtaa mahusiano yaliyopita ila namna ya kutengeneza nafsi yako ni lazima Mungu hausike

Agano lolote sifa yake ni lazima kuwepo na Damu, Biblia inasema agano la kwanza ambalo Mungu alifunga na mwanadamu lilitanguliwa na Damu na agano la pili pia linafungwa na Damu

Kwa hiyo ni Damu ya Yesu inaweza kuingia na kuisafisha nafsi yako na kukuondoa kwenye kifungo cha nafsi ambacho kilipata uhalali kupitia uzinzi na uasherati

Pasipo kuondoa hayo mapatano ya Kwanza Safari ya kwenda kanaani ni ngumu Sana na kama hakuna neema ya Mungu Safari inaishia jangwani
 
Kweli hii ni nondo. Kuingia mahusiano mapya ama ndoa na fikra ya mtu mpya awe kama yuleyule uliyemmiss mkaachana ni ujinga uliopitiliza.

Kwasababu watu hawafanani.
 
Sema hii ni ngumu na inawakumba wengi.

Kuwakumbuka maex, kuna muda nishawahi Kaa chini nikawaza watu wa humu wanaosema mtu aoe bikra wana hoja.

Anyway what goes around comes around.
 
Kupata mwanamke Mwenye Bikra ni neema ya Mungu, wengi wao wanahofu ya Mungu lakini pia ili Mungu akupe MTU Mwenye Bikra Upate neema mbele nje ya hapo , kuna sheria apandacho MTU ndiyo atakachovuna
 
Shetani baba wa uongo alishadanganya watu kabla ya kuoa na kuolewa...

Akawapa wanaume na wanawake wenye sifa kama za mume au mke lakini sio...

Tena wenye mahaba ya kishetani...
Nafsi inarekodi zile kumbukumbu...

Sasa shida inakuja unapooa au kuolewa wanakumbuka yale mahaba ya kishetani...

Na yanakuwa hayana mfano, ndo maana ndoa zinakuwa Misri..

Ili kujitoa Misri

NB: Sala ya Toba na Rehema itaweza kusaidia ili kujisafisha
 
Mungu atusaidie Kwa kweli
 
Back
Top Bottom