elizabeth dominic nateseka sana juu yako

Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol

Khaah!! kazi ipo leo
 
Last edited by a moderator:

hapa sina uzoefu huo jibu pm zangu basi twende sawa.unanipa kazi ngumu sana kwakua pm zangu hujibu.inakua sawa na kumtokea bubu
 
Last edited by a moderator:
Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol

Hapa patamu, ngoja nikae mkao wa kula.
 
Last edited by a moderator:
Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol

hujambo shost, za j2? mbna hukuntafta?
 
Last edited by a moderator:
Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol

mkiva kibarua ulichoomba sasa ndiyo kimeiva tema sera uingie ikulu, v
 
Last edited by a moderator:
naona muvi hii itakuwa imeendelea huko viunga vya PM, next episode itakua ni kuvishana mipete bila shaka...
 
nakutafta kila mtaa sikupat cm hazipokelewi pm hazijibiwi lakini bado nakupenda bado moyo wangu hautaki kukukosa nakupenda sana uoneehuruma moyo wangu unavyoteseka

Hvi unajipenda wewe? Unataka polisi jamii wafanye kazi yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom