elizabeth dominic nateseka sana juu yako

elizabeth dominic nateseka sana juu yako

Mmmh, hii kiboko! Nimeipenda. Japo kuoga mtoni huwa.naogopa.
Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom