elizabeth dominic nateseka sana juu yako

elizabeth dominic nateseka sana juu yako

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
620
nakutafta kila mtaa sikupat cm hazipokelewi pm hazijibiwi lakini bado nakupenda bado moyo wangu hautaki kukukosa nakupenda sana uoneehuruma moyo wangu unavyoteseka
 
ID za JF bana zinadanganya, shukuru labda ni dume lenzako limeamua kukupotezea vinginevyo ungelia na kujuta kumfahamu huyo Elizaberth tehe tehe.
 
hii muvi steringi hajauawa tu?..naona sasa mkiva unacheza makida kwenye matope mkuu
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic please my dia muonee huruma kaka yangu mkiva.. Mtoto wa mwanamke mwinzio.. Anateseka kwa kweli hana raha bila wewe
 
hahahaha, chichat, kuna mambo, haya endeleni kutangaza nia , wangu bado hajajiunga na jf , akijiunga natangaza ni na mimi....
 
Kumbukeni habuba wangu wa moyo na roho Elizabeth Dominic ni verified na binafsi ndio nilimuamrisha afanye hivyo;
kwahio mdogo wangu mkiva jiangalie na hzo PM zako zote nimezisoma na kumwambia asizijibu
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic please my dia muonee huruma kaka yangu mkiva.. Mtoto wa mwanamke mwinzio.. Anateseka kwa kweli hana raha bila wewe

Suala siyo kuonewa huruma bali vigezo, kila la kheri mkiva katika vita uliyoingia mwanawane.
 
Last edited by a moderator:
Naona sera kwenye PM zimekushinda unakuja hangaika huku........sasa ndugu yangu mkiva kwakuwa wewe umeamua kunitongozea hadharani naomba tuanza huu mtanange kutokea mwanzo, yaani tuanza upya, hapa hapa hadharani. Nataka wanajamvi wote washuhudie uwezo wako kwahiyo jaribu kuni convince uwanja ni wako baba.............lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom