Eliza na Ex-Boyfriend wake

Eliza na Ex-Boyfriend wake

Kwa hiyo mume akilega unamkaza kwa kuchat na ex?

Hapo ndipo wanawake mnapokosea....kosa likifanyika usilimalize kwa hasira utasababisha madhara ambayo utakuja kushindwa kuyatatua maisha yako yote.
Teh teh teh!! Huwa mna ushauri mzuri kweli when it comes to women. Sijui hizi akili huwa mnaziazima wapi inapotokea jambo linamuhusu mwanamke
 
Teh teh teh!! Huwa mna ushauri mzuri kweli when it comes to women. Sijui hizi akili huwa mnaziazima wapi inapotokea jambo linamuhusu mwanamke
Huwa nakuwa sipo...weka basi nishauri kuhusu mwanamke.
 
Kuna wanaume wakali nyie huo muda wa kuchat nae ivo sawa unaweza kuupata ila mpk mnaonana na kufanya aiseee kwanza kuuga iyo safar mpk aikubalie umshawishi kua naenda mwenyew usinipeleke cjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Maana kila Nilifikiria kuoa Nasikia sauti ya malaika wanasema Acha kuwaza upumbavu Utakufa mapema... Haah


😆😆😆😆😆😆😆😆Mkuu umetisha
 
Maex wangu wote hakuna ambae anachomoa nikimtaka hata awe kaolewa na nani. Wengine huniambia madhaifu ya wanaume zao na kujilaumu kwa nini hawajaolewa na mimi. huwa nacheka tu
Hata mimi ni hvyo hvyo mkuu,ndo maana nikifkria kuoa aiseee napata tabu sanaa ,nipate mwanamke wa kumcontrol yeye.
Kuna kama watatu hv ma Ex zangu wameolewa na ndoa kabsaa lakn hunipa na kuniambia kila kitu kuhusu waume zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hatari sana mkuu
Hatari fire sanaa mkuu,yani hadi aibu kuna mmoja ndo niliamua kurecord maongezi yangu na yeys akinielezea kuhusu mume wake hamsugui vzuri yani nouuma nakaa naskliza yale maongezi yangu na yy nlio rekodi naishia kuhuzunika na kucheka pia najisemea hiiiiiiiiiiiiiii kumbe walioa ndo wanamajanga hv kuna mmoja tena naye hvyo hvyo,,kwakweli mlioko kwenye Ndoa mnakufa mapema sanaa kuliko wanawake zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlioko kwenye ndoa jamani natamani niiweke maongezi yangu na Ex wangu mmoja hv kaolewa na Engineer wa ............... Na ana hela sanaa lakn mke wake anavyoniambia kila kitu kuhusu yeye utafkr mimi ndo ndugu yake na mambo mengne ya Ndani kabsaaa na anasema bwana ake ana mb..... Ndogo hamfkshi n.k mambo mengiii mnoooo ,,yani hapo ndo umeoa huyo mwanamke na Expose mambo mengne nje ambayo wewe hutafkr kama atayasema nje lakn anayasema aloooo hawa viumbe si mchezooo.
Ndo maana siku zote nawaambia,WANAWAKE TUISHI NAO KWA AKILI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlioko kwenye ndoa jamani natamani niiweke maongezi yangu na Ex wangu mmoja hv kaolewa na Engineer wa ............... Na ana hela sanaa lakn mke wake anavyoniambia kila kitu kuhusu yeye utafkr mimi ndo ndugu yake na mambo mengne ya Ndani kabsaaa na anasema bwana ake ana mb..... Ndogo hamfkshi n.k mambo mengiii mnoooo ,,yani hapo ndo umeoa huyo mwanamke na Expose mambo mengne nje ambayo wewe hutafkr kama atayasema nje lakn anayasema aloooo hawa viumbe si mchezooo.
Ndo maana siku zote nawaambia,WANAWAKE TUISHI NAO KWA AKILI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe huyo unaishi naye kwa akili?
 
Ex: njoo room namba 10
Mlango unagongwa, Ex kafungua kakutana na njemba sita.
Mume mtu: kijana mbona mbichi kabisa unanigongea mke? Haya ndo tumefika tukupe adhabu gani?
EX(kwa sauti ya kutetemeka) : Nyie tu.
 
Mimi nina ex.anakuja kwa kasi ya 5G naona siku mbili hizi ntamlima block ya nguvu...
Sirudiagi makombo mm
 
Ex: Eliza mambo

Eliza: poa tu nani!!

Ex: aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.

Eliza: hayo hayakuhusu sema we nani.

Ex: mi Fredy Mcharo

Eliza: jamn mzima wewe za siku!!

Ex: nzur tu nimekumiss.

Eliza: we si uliniacha bwana...

Ex: hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.

Eliza: ndio hivyo ningefanyaje sasa

Ex: bado unaishi kwenye moyo wangu.

Eliza: mmh asante

Ex: Niko tanga kwenu.

Eliza: mmh kweli umefikia wapi?

Ex: lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda

Eliza: haya bhna karibu kwetu.

Ex: mmh namuogopa mumeo

Eliza: hofu yako tu

Ex: njoo hata unisalimie jamani. nimekumiss sana.

Eliza: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.

Ex: Niamini bado nakupenda naomba uje.
v-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...

Ex: poa saa ngap.

Eliza: Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.

Ex: poa ntakuambia chumba nilichopo.

Eliza: wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe

Ex: please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.

Eliza: wee ndio munasemaga hivyo hivyo

Ex: please siwez niamini

Eliza: sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.

Ex: poa usijar mamy.

Eliza: sawa .

Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.

Ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......

Fuatiliaa hii.........

BAADA YA KUONANA HIYO KESHO

Eliza: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli

Ex: Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana

Eliza: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje

Ex: Hawez jua atajuaje sasa!!

Eliza: jua hivyo tu....usitume text amekuja...

Ex: poa usiku mwema.

BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA

Eliza: nambie

Ex: poa kaondoka

Eliza: ndio ila akija ntakuambia.

Ex: poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.

Eliza: ntaangalia asipokuwepo.

Ex: mmh so akiwepo

Eliza: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa

Ex: sawa.. nakupenda sana

Eliza: nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.

Ex: sitaweza dear!!!

Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!
Kule FB ulipocopy na ukapaste hapa umewapa taarifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom