Eliza na Ex-Boyfriend wake

Eliza na Ex-Boyfriend wake

UKIONA MKEO /MUMEO ANAMAWASILIANO NA EX WAKE UJUE MTU ATALIWA TU SONGA NA HII STORY HAPA (nimetoa sehemu na kuileta kwenu Kama funzo )

NERRIE :-salama mambo

SALOME:- poa tu nani

NERRIE :- aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.

SALOME:-hayo hayakuhusu sema we nani.

NERRIE :--mi Nerry

SALOME:--jamn mzima wewe za siku

NERRIE :--nzur tu nimekumiss.

SALOME:--we si uliniacha bwana...

NERRIE :--hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.

SALOME:--ndio hivyo ningefanyaje sasa

NERRIE :--bado unaishi kwenye moyo wangu.

SALOME:--mmh asante

NERRIE :--Niko MOROGORO kwenu.

SALOME:--mmh kweli umefikia wapi.

NERRIE :--lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku Misufini

SALOME:--haya bhna karibu kwetu.

NERRIE :--mmh namuogopa mumeo

SALOME:--hofu yako tu

NERRIE :-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.

SALOME:--mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.

NERRIE :--Niamini bado nakupenda naomba uje.

SALOME:--mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...

NERRIE :--poa saa ngap...

SALOME:- -Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.

NERRIE :--poa ntakuambia chumba nilichopo.

SALOME:--wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe

NERRIE :--please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.

SALOME:--wee ndio munasemaga hivyo hivyo

NERRIE :--please siwez niamini

SALOME:--sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.

NERRIE :--poa usijar mamy...

SALOME:--sawa .

Hivi ndivyo ma NERRIE wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX wake labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii

BAADA YA KUONANA HIYO KESHO

SALOME:--ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli

NERRIE:-Nisamehe mpz wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka mbali ..asante nime enjoy sana

SALOME:--sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje

NERRIE-:- awez jua atajuaje sasa!!

SALOME:--jua hivyo tu....usitume text amekuja...

NERRIE😛oa usiku mwema.

BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA

SALOME:--nambie

NERRIE😛oa kaondoka

SALOME:--ndio ila akija ntakuambia.

NERRIE😛oa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.

SALOME:--ntaangalia asipokuwepo.

NERRIE:-mmh ko akiwepo

SALOME:--mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa

NERRIE:-sawa..nakupenda sana

SALOME:--nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.

NERRIE:-sitaweza dear!!!

Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!

kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!....,

dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!

anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!

na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!

maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya unaoenda bure.....

Jr
Wake za watu wanagongwa kilaini sana siku hiz, wala sio lazima wakutane na ma ex wao, ukiwa na gari, tena nyumba ya kupanga, unagonga tu,
Tena mama wa nyumbani ukimsifia, umegonga,
Huku ninapoishi, wake za watu, wanashinda na kanga moja, njemba zao, kazi za kubangaiza, kila nikirudi, wanashangaa huyu jamaa,mwaka sasa, hatuoni demu akiingia gheto, wanatamani, wamezao wangekuwa kama Mimi, u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nasemaga akili kwa mwanamke ni kila kitu, ukioa kichwa panzi utato.mbewa tu.

Kuna ex wangu mmoja alikua ananipenda mbaya nikamzingua tukaachana, Nna uhakika 100% bado yuko single lakini siku nikimtext hajawahi hata siku moja kujibu meseji au kupokea simu.
uko sahihi mkuu inategemea na mwanamke..! ila hapo mwisho ulipo malizia kidizain kama ume paste life nlopitiaa..
 
1.Ndilo suluhisho la kwanza. Ukimuanza bikra kwa kiasi kikubwa hatojua mambo mengi na nakuhakikishia atakuwa mwoga wa kusaliti.

2. Uaminifu bado ni tatizo kubwa sana miongoni mwa wanandoa.
Yakishawakuta ndiyo hujutia makosa yao.

3. Upendo wa dhati haupo na hofu ya Mungu.


Sent using Jamii Forums mobile app
"uaminifu haupo na hofu ya Mungu"...!! hapa nmepaelewa
 
EX-salama mambo
SALAMA-poa tu nani
EX-aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
SALAMA-hayo hayakuhusu sema we nani.
EX-mi kibonde
SALAMA-jamn mzima wewe za siku
EX-nzur tu nimekumiss.
Salama-we si uliniacha bwana...
EX-hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
SALAMA-ndio hivyo ningefanyaje sasa
EX-bado unaishi kwenye moyo wangu.
SALAMA-mmh asante
EX-Niko tanga kwenu.
SALAMA-mmh kweli umefikia wapi.
EX-lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda
SALAMA-haya bhna karibu kwetu.
EX-mmh namuogopa mumeo
SALAMA-hofu yako tu
EX-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.
SALAMA-mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
EX-Niamini bado nakupenda naomba uje.
SALAMA-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
EX-poa saa ngap.
SALAMA -Anaenda kazini asubh xo mi ntatoka saa nne.
EX-poa ntakuambia chumba nilichopo.
SALAMA-wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
EX-please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
SALAMA-wee ndio munasemaga hivyo hivyo
EX-please siwez niamini
SALAMA-sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
EX-poa usijar mamy.
SALAMA-sawa .

Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii

BAADA YA KUONANA HIYO KESHO

SALAMA-ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
EX-Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana
SALAMA-sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
EX-HAawez jua atajuaje sasa!!
SALAMA-jua hivyo tu....usitume text amekuja...
EX-poa usiku mwema.

BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA

Salama-nambie
EX-poa kaondoka
SALAMA-ndio ila akija ntakuambia.
Ex-poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
SALAMA-ntaangalia asipokuwepo.
EX-mmh xo akiwepo
SALAMA-mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
EX-sawa..nakupenda sana
SALAMA-nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
EX-sitaweza dear!!!

*Hivyo ndivyo mwanamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!...., dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!what goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya
 
Nikionaga huu unyumbu kichwa ndo kinapataga, Moto nikiwazaga kuoa.😪
 
Kuna people umezipa madini wazi wazi
 
Karantini inawafanya watu kugundua vipaji vyao na mtaendelea kutunga mpk chanjo ipatikane ngoja nihamie kwa yule jamaa alieenda kwa mganga nikitoka hapo naenda kwa yule wa mgodini Radha tofauti tofauti mpk unahisi huu mwisho wa dunia watu wanatoa ya moyoni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini ukioa mwanamke mwenye akili na matured hawezi kuyumbishwa na ex Ila ukioa mwanamke ambaye hajui ndoa ni nn lazma akapashe kiporo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna kitu kama hicho ,mwanamke ni mwanamke tu hata iweje,,mimi niliwahi kutoka na EX wangu mmoja hv ana akili na kasoma balaa na ukimwangalia hv huwez kudhani kuwa atakua anasaliti ndoa yake lakn akija kwangu ni mwendo wa kupiga machine tu,

Kinachotakiwa ni mwanamme uliyeoa kuwa jasiri wa kila kitu kuzuia mwanamke kutoka nje kumbuka kua MA EX WANANGUVU SANAAA KULIKO KITU CHOCHOTE NA SHETANI NDIPO ANAPOINGILIA HAPO KUHARIBU NDOA ZA WATU NA KUMTEKA MWANAMKE.

NIMEONA MENGI SANAA KATIKA NDOA ZA WATU NA NITAENDELEA KUONA MENGI KWENYE NDOA ZA WATU MI SIPO KUOA KWASASA BADO MDOGO SANAAAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom