Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,988
Ex
Hellow, mambo..!!?
Girl
: poa tu nani..?
Ex
: aah!! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa...?
Girl
: hayo hayakuhusu sema we nani...?
Ex
: mi Mcharo
Girl
: OMG!! mzima wewe?
za siku?
Ex
: nzuri tu nimekumiss..
Girl
: we si uliniacha bwana...
Ex
: hapana, hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
Girl
: ndio hivyo ningefanyaje sasa?
Ex
: bado unaishi kwenye moyo wangu.
Girl
: mmh!! asante
Ex
: Niko mkoani kwenu hapa...
Girl
: mmh!! kweli umefikia wapi?
Ex
: lodge tu. lodge flan huku chuda. nimekuja kwenye seminar mara moja..
Girl
: haya bwana karibu kwetu...
Ex
: mmh!! namuogopa mumeo
Girl
: hofu yako tu...
Ex
: njoo hata unisalimie jamani... nimekumiss sana.
Girl
: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex
: Niamini bado nakupenda naomba uje...
Girl
: mmh!! kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex
: poa saa ngap...?
Girl
: Anaenda kazini asubuhi hivyo mi nitatoka saa nne.
Ex
: poa ntakuambia chumba nilichopo.
Girl
: wee tafadhali Sana babu siingii lodge mimi.. mimi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex
: please
sitakufanya chochote... siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Girl
: we... ndio mnasemaga hivyo hivyo
Ex
: pleas
siwez niamini
Girl
: sawa lakini sitakaa sana.... Na Ni story tu sitaki mambo mengine.
Ex
: poa usijar mamy
Girl
: sawa..
Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!...... fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
Girl
: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex.. sijapenda kiukweli
Ex
: Nisamehe wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka.. lakini asante nimeenjoy sana. Bado uko na utamu wako mamiii
Girl
: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
Ex
: Hawezi kufahamu atajuaje sasa!!
Girl
: tambua tu hivyo...
Ghafla usitume text amekuja...
Ex
: poa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Girl
: nambie
Ex
: poa kaondoka
Girl
: ndio ila akija ntakuambia.
Ex
: poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
Girl
: ntaangalia asipokuwepo.
Ex
: mmh Jamani sasa akiwepo je!!?
Girl
: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu. ntakuja ila sitakaa
Ex
: sawa.. nakupenda sana
Girl
: nakupenda pia, ila usirudie kuniumiza.
Ex
: sitaweza rudia tena dear!!!
*Hivyo ndivyo mwanamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!! kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue..
Dada heshimu ndoa yako!! huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!
na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa eti ni ex wako... fikiria tu mke wako anakufanyia hivyo!! maumivu utakayoyapata ndio anayopitia mume wa ex wako akijua!! when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!! hakuna ubaya unaoenda bure... Amini kwamba.
Sauti iko sawa!!?
Ama nipunguze kidogo
Hellow, mambo..!!?Girl
: poa tu nani..?Ex
: aah!! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa...?Girl
: hayo hayakuhusu sema we nani...?Ex
: mi McharoGirl
: OMG!! mzima wewe?za siku?
Ex
: nzuri tu nimekumiss..Girl
: we si uliniacha bwana...Ex
: hapana, hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.Girl
: ndio hivyo ningefanyaje sasa? Ex
: bado unaishi kwenye moyo wangu.Girl
: mmh!! asanteEx
: Niko mkoani kwenu hapa...Girl
: mmh!! kweli umefikia wapi?Ex
: lodge tu. lodge flan huku chuda. nimekuja kwenye seminar mara moja.. Girl
: haya bwana karibu kwetu...Ex
: mmh!! namuogopa mumeoGirl
: hofu yako tu...Ex
: njoo hata unisalimie jamani... nimekumiss sana.Girl
: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.Ex
: Niamini bado nakupenda naomba uje...Girl
: mmh!! kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...Ex
: poa saa ngap...?Girl
: Anaenda kazini asubuhi hivyo mi nitatoka saa nne.Ex
: poa ntakuambia chumba nilichopo.Girl
: wee tafadhali Sana babu siingii lodge mimi.. mimi mke wa mtu usijisahaulisheEx
: please
sitakufanya chochote... siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.Girl
: we... ndio mnasemaga hivyo hivyoEx
: pleas
siwez niaminiGirl
: sawa lakini sitakaa sana.... Na Ni story tu sitaki mambo mengine.Ex
: poa usijar mamy Girl
: sawa..Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!...... fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
Girl
: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex.. sijapenda kiukweliEx
: Nisamehe wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka.. lakini asante nimeenjoy sana. Bado uko na utamu wako mamiiiGirl
: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyajeEx
: Hawezi kufahamu atajuaje sasa!!Girl
: tambua tu hivyo... Ghafla usitume text amekuja...
Ex
: poa usiku mwema.BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Girl
: nambieEx
: poa kaondokaGirl
: ndio ila akija ntakuambia.Ex
: poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.Girl
: ntaangalia asipokuwepo.Ex
: mmh Jamani sasa akiwepo je!!?Girl
: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu. ntakuja ila sitakaaEx
: sawa.. nakupenda sanaGirl
: nakupenda pia, ila usirudie kuniumiza.Ex
: sitaweza rudia tena dear!!!*Hivyo ndivyo mwanamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!! kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue..
Dada heshimu ndoa yako!! huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!
na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa eti ni ex wako... fikiria tu mke wako anakufanyia hivyo!! maumivu utakayoyapata ndio anayopitia mume wa ex wako akijua!! when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!! hakuna ubaya unaoenda bure... Amini kwamba.
Sauti iko sawa!!?
Ama nipunguze kidogo

