Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,987
Ndoa isiyo na msingi wa Kristo ni chaka la shetani. Kuwa na Kristo ni tofauti na kuwa Mkristo.
SIO KILA MKRISTO ANA KRISTO
SIO KILA MKRISTO ANA KRISTO
Ndoa isiyo na msingi wa Kristo ni chaka la shetani. Kuwa na Kristo ni tofauti na kuwa Mkristo.
SIO KILA MKRISTO ANA KRISTO
Kiongozi.Mi sijui kwanini nikishaachanaga na mwanamke hata nikija kukutana nae nakua sina mzuka tena wa kumtafuna.
Ndoa isiyo na msingi wa Kristo ni chaka la shetani. Kuwa na Kristo ni tofauti na kuwa Mkristo.
SIO KILA MKRISTO ANA KRISTO
Njia gani hiyo mkuuNjia Nyepesi ya Kugundua Kama unaibiwa ni kumdukua mhusika. Utapata tarifa za kina zenye kuthibitisha Hali halisi ya mkeo.
mfano, kuna mtu nilimdukua aisee tulikuwa Kama watanoo ivii na kila mmoja anapewa mzigo
Mwengine nilikua napata picha zake akipiga dah picha za ovyo Sana.
Kudukua njia nyepesi ya kupata taarifa za mke wako Sema Kama unamoyo Kama wa biskuti usifanye ni hatari Afya yako
Virse versa is TrueMwanamke hajawahi achwa salama na EX wake. Tatizo linaanza hapa....
Mwanamke ni ngumu kumuacha x wake, tena kama jamaa alikua anamkojoza mwanamke hata aaachwe vipiii, mawazo na akili vipo kwa x wake. Tofauti na sisi wanaume ukimwacha mwanamke hata iwe alikuwa anauzungusha kama feni akiachwa ameachwa mazima....
Though mawazo yangu hayapo practical kwa baadhi ya binadamu
wee boya sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
inahitaji kiwango kikubwa kabisa chaakili kufanya haya ukiona unafanya haya kama kweli unafanya ujue ushafikia stage yajuu kabisa yautu uzima nabusara.Ex wangu huwa akiwa na shida na akahisi mimi ni msaada kwake huwa ananitafuta... sijawahi kufikiria kuvunja mwiko wa ndoa yake... Uzuri hatukuachana kwa shari... Tulikubaliana tuachane... Pia huwa sina mazoea ya kuwasiliana naye... Hadi anitafute yeye tena kwa dharura... Namuheshimu sana sana sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza kusoma sana sio kua na akili nakumuona mtu kama ana akili sio kua na akiliMkuu hakuna kitu kama hicho ,mwanamke ni mwanamke tu hata iweje,,mimi niliwahi kutoka na EX wangu mmoja hv ana akili na kasoma balaa na ukimwangalia hv huwez kudhani kuwa atakua anasaliti ndoa yake lakn akija kwangu ni mwendo wa kupiga machine tu,
Kinachotakiwa ni mwanamme uliyeoa kuwa jasiri wa kila kitu kuzuia mwanamke kutoka nje kumbuka kua MA EX WANANGUVU SANAAA KULIKO KITU CHOCHOTE NA SHETANI NDIPO ANAPOINGILIA HAPO KUHARIBU NDOA ZA WATU NA KUMTEKA MWANAMKE.
NIMEONA MENGI SANAA KATIKA NDOA ZA WATU NA NITAENDELEA KUONA MENGI KWENYE NDOA ZA WATU MI SIPO KUOA KWASASA BADO MDOGO SANAAAA.
Sent using Jamii Forums mobile app
vp bado anakuja tu[emoji23][emoji16][emoji2]Mimi nina ex.anakuja kwa kasi ya 5G naona siku mbili hizi ntamlima block ya nguvu...
Sirudiagi makombo mm