HOW CAN YOU TRY TO CONVINCE ME THAT IF PEOPLE WERE IN RELATION AND BREAK UP THEY BECOME FRIENDS😀😀😀😀😀, WATOTO WA KIDIGITALI HUSEMA TUMEACHANA LAKINI TUKO SAWA NA NI MARAFIKI, 🤔🤔🤔BINADAMU TIMAMU HAWEZI EKA UADUI NA EX WAKE LAKINI HAWEZI KABISA KUWEKA UKARIBU NA EX WAKE, IWE CHATTING, IWE TALKING OR WHATEVER, Hii yakusema tumeachana lakini we are friends its a TRASH WORD inayoua mahusiano mengi,if you leave, leave forever if you standstill then stand forever.UKIONA MKEO /MUMEO ANAMAWASILIANO NA EX WAKE UJUE MTU ATALIWA TU SONGA NA HII STORY HAPA (nimetoa sehemu na kuileta kwenu Kama funzo )
NERRIE :-salama mambo
SALOME:- poa tu nani
NERRIE :- aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
SALOME:-hayo hayakuhusu sema we nani.
NERRIE :--mi Nerry
SALOME:--jamn mzima wewe za siku
NERRIE :--nzur tu nimekumiss.
SALOME:--we si uliniacha bwana...
NERRIE :--hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
SALOME:--ndio hivyo ningefanyaje sasa
NERRIE :--bado unaishi kwenye moyo wangu.
SALOME:--mmh asante
NERRIE :--Niko MOROGORO kwenu.
SALOME:--mmh kweli umefikia wapi.
NERRIE :--lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku Misufini
SALOME:--haya bhna karibu kwetu.
NERRIE :--mmh namuogopa mumeo
SALOME:--hofu yako tu
NERRIE :-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.
SALOME:--mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
NERRIE :--Niamini bado nakupenda naomba uje.
SALOME:--mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
NERRIE :--poa saa ngap...
SALOME:- -Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
NERRIE :--poa ntakuambia chumba nilichopo.
SALOME:--wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
NERRIE :--please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
SALOME:--wee ndio munasemaga hivyo hivyo
NERRIE :--please siwez niamini
SALOME:--sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
NERRIE :--poa usijar mamy...
SALOME:--sawa .
Hivi ndivyo ma NERRIE wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX wake labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
SALOME:--ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
NERRIE:-Nisamehe mpz wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka mbali ..asante nime enjoy sana
SALOME:--sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
NERRIE-:- awez jua atajuaje sasa!!
SALOME:--jua hivyo tu....usitume text amekuja...
NERRIE😛oa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
SALOME:--nambie
NERRIE😛oa kaondoka
SALOME:--ndio ila akija ntakuambia.
NERRIE😛oa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
SALOME:--ntaangalia asipokuwepo.
NERRIE:-mmh ko akiwepo
SALOME:--mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
NERRIE:-sawa..nakupenda sana
SALOME:--nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
NERRIE:-sitaweza dear!!!
Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!....,
dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!
anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!
na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!
maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya unaoenda bure.....
Jr![]()
UKIONA MKEO /MUMEO ANAMAWASILIANO NA EX WAKE UJUE MTU ATALIWA TU SONGA NA HII STORY HAPA (nimetoa sehemu na kuileta kwenu Kama funzo )

Mkuu hapo kabdl jina kdogo siunajua tena usalama.Mwanaume anitwa Nerrie.?
Si ndio maajabu ya Vicent K. Kujiita Ray..!!
Ndo nipo namuhoji shetani hapa nimemuuliza ati kupasha kipolo ni dhambi..?? Kanikazia jicho kisha kanijibu "Nani kasema!!"
Almanusura anitie kwenye likikaango la motoni!! Nimeona nile kona nisimtie stress baba wa watu..

Ex wangu huwa akiwa na shida na akahisi mimi ni msaada kwake huwa ananitafuta... sijawahi kufikiria kuvunja mwiko wa ndoa yake... Uzuri hatukuachana kwa shari... Tulikubaliana tuachane... Pia huwa sina mazoea ya kuwasiliana naye... Hadi anitafute yeye tena kwa dharura... Namuheshimu sana sana sana...HOW CAN YOU TRY TO CONVINCE ME THAT IF PEOPLE WERE IN RELATION AND BREAK UP THEY BECOME FRIENDS, WATOTO WA KIDIGITALI HUSEMA TUMEACHANA LAKINI TUKO SAWA NA NI MARAFIKI,
BINADAMU TIMAMU HAWEZI EKA UADUI NA EX WAKE LAKINI HAWEZI KABISA KUWEKA UKARIBU NA EX WAKE, IWE CHATTING, IWE TALKING OR WHATEVER, Hii yakusema tumeachana lakini we are friends its a TRASH WORD inayoua mahusiano mengi,if you leave, leave forever if you standstill then stand forever.
Wengne wanawaita John na eliza wengne wanaita nerrie na SalomeUKIONA MKEO /MUMEO ANAMAWASILIANO NA EX WAKE UJUE MTU ATALIWA TU SONGA NA HII STORY HAPA (nimetoa sehemu na kuileta kwenu Kama funzo )
NERRIE :-salama mambo
SALOME:- poa tu nani
NERRIE :- aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
SALOME:-hayo hayakuhusu sema we nani.
NERRIE :--mi Nerry
SALOME:--jamn mzima wewe za siku
NERRIE :--nzur tu nimekumiss.
SALOME:--we si uliniacha bwana...
NERRIE :--hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
SALOME:--ndio hivyo ningefanyaje sasa
NERRIE :--bado unaishi kwenye moyo wangu.
SALOME:--mmh asante
NERRIE :--Niko MOROGORO kwenu.
SALOME:--mmh kweli umefikia wapi.
NERRIE :--lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku Misufini
SALOME:--haya bhna karibu kwetu.
NERRIE :--mmh namuogopa mumeo
SALOME:--hofu yako tu
NERRIE :-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.
SALOME:--mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
NERRIE :--Niamini bado nakupenda naomba uje.
SALOME:--mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
NERRIE :--poa saa ngap...
SALOME:- -Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
NERRIE :--poa ntakuambia chumba nilichopo.
SALOME:--wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
NERRIE :--please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
SALOME:--wee ndio munasemaga hivyo hivyo
NERRIE :--please siwez niamini
SALOME:--sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
NERRIE :--poa usijar mamy...
SALOME:--sawa .
Hivi ndivyo ma NERRIE wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX wake labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
SALOME:--ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
NERRIE:-Nisamehe mpz wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka mbali ..asante nime enjoy sana
SALOME:--sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
NERRIE-:- awez jua atajuaje sasa!!
SALOME:--jua hivyo tu....usitume text amekuja...
NERRIE😛oa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
SALOME:--nambie
NERRIE😛oa kaondoka
SALOME:--ndio ila akija ntakuambia.
NERRIE😛oa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
SALOME:--ntaangalia asipokuwepo.
NERRIE:-mmh ko akiwepo
SALOME:--mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
NERRIE:-sawa..nakupenda sana
SALOME:--nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
NERRIE:-sitaweza dear!!!
Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!....,
dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!
anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!
na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!
maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya unaoenda bure.....
Jr![]()

Chief , with all due respect sir. I think you have copied this w/o citation . But what matters is that message it contains. Ahsante , I’ll be heads up.
Sent from my iPhone using JamiiForums

😕😕😳I think baadhi ya topics tuwe tunaacha zinakuwa posted na watoto.
Mshana Jr nisamehe kwa huu mtazamo.