Eliza na Ex-Boyfriend wake

Eliza na Ex-Boyfriend wake

Japo Eliza anajifanya hakupenda alivyofanyiwa na Ex wake, ila ni wazi alijua kitachoenda tokea huko na akajihami kuwa watapiga tu story kumbe ashajipanga vya kutosha. Lengo ni kuwa asionekane tu cheap kwa jamaa.
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho ,mwanamke ni mwanamke tu hata iweje,,mimi niliwahi kutoka na EX wangu mmoja hv ana akili na kasoma balaa na ukimwangalia hv huwez kudhani kuwa atakua anasaliti ndoa yake lakn akija kwangu ni mwendo wa kupiga machine tu,
Kinachotakiwa ni mwanamme uliyeoa kuwa jasiri wa kila kitu kuzuia mwanamke kutoka nje kumbuka kua MA EX WANANGUVU SANAAA KULIKO KITU CHOCHOTE NA SHETANI NDIPO ANAPOINGILIA HAPO KUHARIBU NDOA ZA WATU NA KUMTEKA MWANAMKE.
NIMEONA MENGI SANAA KATIKA NDOA ZA WATU NA NITAENDELEA KUONA MENGI KWENYE NDOA ZA WATU MI SIPO KUOA KWASASA BADO MDOGO SANAAAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course Kuna ukwel Ila naomba nikurekebishe kidogo akili za kusoma sio akili zinazotakiwa kwa mwanamke anayeingia kweny ndoa, Kuna wanawake wana akili za kusoma lkn ni vicheche kweny ndoa na wengine hawajasoma Sana lkn wanatulia kweny ndoa and vice versa,. Swala la mwanamke kutulia kweny ndoa ni kujua maana ya ndoa vzr& uaminifu na pia sisi tunao oa lazm tuplay our part bila ivo mke ataendelea kupasha viporo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ex wa kuchat nae yote hayo hadi kuonana lodge, lol sidhani aiseee,

Sema wanawake nao wana vishawishi sana,
Akili kumkichwa.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Karantini inawafanya watu kugundua vipaji vyao na mtaendelea kutunga mpk chanjo ipatikane ngoja nihamie kwa yule jamaa alieenda kwa mganga nikitoka hapo naenda kwa yule wa mgodini Radha tofauti tofauti mpk unahisi huu mwisho wa dunia watu wanatoa ya moyoni

Nitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nasemaga akili kwa mwanamke ni kila kitu, ukioa kichwa panzi utato.mbewa tu.

Kuna ex wangu mmoja alikua ananipenda mbaya nikamzingua tukaachana, Nna uhakika 100% bado yuko single lakini siku nikimtext hajawahi hata siku moja kujibu meseji au kupokea simu.
Hizo hasira tu za kumzingua, endelea kumkazia ataelewa soon.
 
Mlioko kwenye ndoa jamani natamani niiweke maongezi yangu na Ex wangu mmoja hv kaolewa na Engineer wa ............... Na ana hela sanaa lakn mke wake anavyoniambia kila kitu kuhusu yeye utafkr mimi ndo ndugu yake na mambo mengne ya Ndani kabsaaa na anasema bwana ake ana mb..... Ndogo hamfkshi n.k mambo mengiii mnoooo ,,yani hapo ndo umeoa huyo mwanamke na Expose mambo mengne nje ambayo wewe hutafkr kama atayasema nje lakn anayasema aloooo hawa viumbe si mchezooo.
Ndo maana siku zote nawaambia,WANAWAKE TUISHI NAO KWA AKILI.

Sent using Jamii Forums mobile app

dottoz hivi wewe umeoa kweli? Hivi hujui kuwa mwanamke anafika kileleni hata kwa kumpapasa tu? Kuwa na uume mdogo haimaanishi huwezi kumridhishamke wako na kwa kukujuza tu mwanamke anafika mshindo hata kw kumsugua kwa kidole tu

Tatizo lenu vijana mnapenda sana kupeana story za vijiweni ambazo sio za kweli mara mambo ya vibamia mara kuwahi kufika mshindo

Hebu jaribu kutafiti uliza mwanamke yeyote hata humu jukwaani atalujibu kama kibamia kina uhusiano wowote na kumfikisha zaidi?

Vijana wengi mnakwama kwenye suala zima la ufundi ndiyo hapo zile story za mambo ya tango na vibamia watu mnatunishiana urefu wa uume huo ni upuuzi mtupu na mtaishia kugongewa

Nilishawahi kupiga story na dada mmoja smbaye ana mchumba na huyo mchumba wake hamridhishi kitandani lakini ana uume wa kutosha ila tatizo hajui zile hatua za mwanzo hadi kufikua mwisho

Moja kwa yote huyo mke wa mtu ni malaya tu na ukitaka kuamini jaribu kumchukua uishi nae na huo uume wako mkubwa alafu ukose ufundi ni lazima atakuacha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maex wangu wote hakuna ambae anachomoa nikimtaka hata awe kaolewa na nani. Wengine huniambia madhaifu ya wanaume zao na kujilaumu kwa nini hawajaolewa na mimi. huwa nacheka tu

Nakurekebisha mkuu

Hao Ma Ex wako wote wana damu ya umalaya tu jaribu kufuatilia vizuri na ukitaka kujua hilo jaribu kumchukua ex wako uishi nae hata kwa mwezi mmoja tu i swear utaona mabadiliko hayo hayo kama unavyoyaona kwa wenzio

Siku zote hata uwanjani mashabiki ndiyo huwa wanayaona sana makosa kwa wachezaji walio uwanjani ila sasa mpeleke huyo shabiki aingie uwanjani utapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ex-Eliza mambo
Eliza-poa tu nani
Ex-aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
Eliza-hayo hayakuhusu sema we nani.
Ex-mi Fredy Mcharo
Eliza -jamn mzima wewe za siku
Ex-nzur tu nimekumiss.
Eliza-we si uliniacha bwana...
Ex-hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
Eliza-ndio hivyo ningefanyaje sasa
Ex-bado unaishi kwenye moyo wangu.
Eliza-mmh asante
EX-Niko tanga kwenu.
Eliza-mmh kweli umefikia wapi.
Ex-lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda
Eliza-haya bhna karibu kwetu.
Ex-mmh namuogopa mumeo
Eliza-hofu yako tu
Ex-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.
Eliza-mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex-Niamini bado nakupenda naomba uje.
v-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex-poa saa ngap.
Eliza -Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
Ex-poa ntakuambia chumba nilichopo.
Eliza-wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex-please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Eliza-wee ndio munasemaga hivyo hivyo
Ex-please siwez niamini
Eliza-sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
Ex-poa usijar mamy.
Eliza -sawa .

Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii

BAADA YA KUONANA HIYO KESHO

Eliza-ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli

EX-Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana

Eliza-sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje

EX-HAawez jua atajuaje sasa!!

Eliza-jua hivyo tu....usitume text amekuja...

Ex-poa usiku mwema.

BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA

Eliza-nambie

EX-poa kaondoka

Eliza-ndio ila akija ntakuambia.

Ex-poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.

Eliza-ntaangalia asipokuwepo.

Ex-mmh ko akiwepo

Eliza-mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa

Ex-sawa..nakupenda sana

Eliza-nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.

Ex-sitaweza dear!!!

*Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!...., dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya unaoenda bure...Amini

Share hii....watu wapone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii mswali alisema haya yapo.

Nilikua na girlfriend wa kichaga ananambia hata nikishindwa kumuowa, siku tukikutana lazima tukakubushie.
 
Mi sijui kwanini nikishaachanaga na mwanamke hata nikija kukutana nae nakua sina mzuka tena wa kumtafuna.
 
Back
Top Bottom