[emoji15] [emoji15] [emoji12] ukiangalia hii mada niliandika nikiwa nasubiri pm za warembo huku nina jibapa na red bluUlivyokuwa Dar Leo huyo Dem uliyemtafuta Leo humu Jf kabla hujarudi Tanga ndio pombe Kali za kufakamia zimempeleka peleka kinoma nn mkuu?
Dah...ungekuwa na plan angalau 4 hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwana nimechomeshwa mahindi
Mshana, ulichozungumza, mm ni practical wa pombe kali tangu mwaka 2014. naweza kuzichambua vizuri faida na hasara za whisky, brandy na spirit.Ina kilevi? Kama ina kilevi basi haikosi madhara
.Mshana, ulichozungumza, mm ni practical wa pombe kali tangu mwaka 2014. naweza kuzichambua vizuri faida na hasara za whisky, brandy na spirit.
binafsi n mtumiaji mkubwa wa brandy hasa Valuer inayotengenezwa kwa zabibu za dodoma.
spirit springs kama vile Konyagi n mbaya sana kitabibu.. sijui kwann inapigiwa chepuo
Uswahilini kujipangia kiasi cha unywaji ni ngumu. Ule unywaji wa kampani ni shida. Pia kununua asusa (nyamachoma n.k.) ni haba ukilinganisha na ulabu!Sasa ndio ushauri gani huo mkuu! tukumbushe kunywa kiasi na kula vizuri, sio kuacha bhana!
Bajeti ya supu ya mkia wa ng'ombe na ndizi mshale zilizochemshwa mix mbilimbi kiasi inakuhusu mida hiiNdio narudi hewani jana nilikula jibapa, Dompo viceroy nikamalizia na mchina.. Hapa nahisi huu mwili si wangu
Me nimeacha huu mwaka wa nne, asante MunguKuacha pombe ni kazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] mi itaniua tu
[emoji15] [emoji15] [emoji12] ukiangalia hii mada niliandika nikiwa nasubiri pm za warembo huku nina jibapa na red blu
Siku hizi spare zipo.. Sema pesa na technology tu..!Ni wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare
Asante sana kwa ushauri ila kama tumefika pa kupangiana cha kuandika basi tunakoelekea sikoHii elimu ungekaa nayo tu mwenyewe ndugu, kila mtu na starehe yake. Unaekunywa SPIRIT kwa kuiga huku sio kwako, rudi kunakokuhusu. Unadhani madatari hawayajui madhara ya sigara na wao ni moja kati ya wavutaji wazuri.
Mtuache!