Elimu kwa walevi wa pombe kali

Elimu kwa walevi wa pombe kali

Huyu ndio mlevi halisi

Hua wana majib ya hiv hiv....
I mean addicted...
Kumbu kumb yao hua ni ndogo sana....
Nimezungukwa na hii community...
Wako rough sana katika mambo yao ..ukiliza jibu lao
"Kifo hakizuiliki"
Wacha Unafiki.
Unawezaje kuishi na kahaba ikiwa we sio kahaba??.
 
Huyu ndio mlevi halisi

Hua wana majib ya hiv hiv....
I mean addicted...
Kumbu kumb yao hua ni ndogo sana....
Nimezungukwa na hii community...
Wako rough sana katika mambo yao ..ukiliza jibu lao
"Kifo hakizuiliki"
Wanaokunywa na wasiokunywa kuondoka ni kule kule tu.
 
Ni wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare
Inasikitisha sana. Nilikutana na mlevi mmoja wa hizi energy drinks ...... akasema ile kitu imemlevya kiasi kwamba haiwezi kupita siku hajanywa angalau chupa moja. Nilimuonea huruma sana sana.
 
Inasikitisha sana. Nilikutana na mlevi mmoja wa hizi energy drinks ...... akasema ile kitu imemlevya kiasi kwamba haiwezi kupitia siku hajanywa angalau chupa moja. Nilimuonea huruma sana sana.
Hiyo ni tofauti na drinkiiiins ndio maana wamekwambia usinywe zaidi ya mbili kwa siku, ila tungi drink to your own risk. mkuu tofautisha
 
Back
Top Bottom