Elimu kwa walevi wa pombe kali

Elimu kwa walevi wa pombe kali

tulikua tunaiita Cobul-(konyagi with redbul) ilikua habari ya town those days
 
Sijui ni kwa sababu mwili bado uko active,effect uzeeni

Ila Mimi huwa napigaga tu chochote kinachopatikana hali hii imekuwa ikiwashangaza watu wengi wanaonizunguka imefikia hatua wananiita "MDUDU WA DAMPO".
 
Sijui ni kwa sababu mwili bado uko active,effect uzeeni

Ila Mimi huwa napigaga tu chochote kinachopatikana hali hii imekuwa ikiwashangaza watu wengi wanaonizunguka imefikia hatua wananiita "MDUDU WA DAMPO".
Yeah hata sisi tulikuwa na hiyo vibe japo yako imepitiliza kidogo.. Ila sasa simalizi mzinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha pombe ni kazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] mi itaniua tu

Nakiri Kuacha Pombe ni shughuli nzito.

Ila unaweza kupunguza , Unakuwa busy wiki nzima alaf ikifika weekend, ndio jiloweke kabisa . Ukiamka una uchovu unalala kutafuta nguvu ya jumatatu.

Hakuna namna, Ijumaa + jumamos ni mwendo wa Moko moko na kama kuna totoz uliisarandia katikat ya wiki ndio muda wa kuwa nae huu.

Jumatatu ikianza unajua kabisa uchakavu uliopotea ili ujue unaurudishaje mfukoni.
 
Nimepiga gambe mwaka Wa ishirini huu mkuu,na Niko fit mbaya,yani nikihesabu hivi vichupa vidogo vya konyagi najaza fuso toka nianze kuvigonga hadi Leo.

Last year nilicheck figo na INI yani sikuamini kuambiwa ziko sawa.

Sijui kuhusu whisky mana zangu ni local gin na vodka,ila asikwambie MTU pombe Kali Dawa yake msosi Wa nguvu na maji kwa wingi,huwa hazikai mwilini muda mrefu kama mabia haya yanatengeza acid,na huwa sichanganyi na kitu.

By a the way miili yetu zinatofautiana immunity.
 
Eti niende na ini na figo kaburini vizima😂😂 yaaani niwapelekee funza na wadudu wengine viungo vyote vizima? Hapana aise hata hivyo mbinguni tutapewa miili mipya.
 
Ha ha ni bora uwarahisihie wale maini choma, mtu unakufa eti ini linafanya kazi [emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah we jamaaa umenifurahisha sana aiseee kwamba wale maini choma na mapafu yaliyoungulia😂😂😂
 
Eti niende na ini na figo kaburini vizima[emoji23][emoji23] yaaani niwapelekee funza na wadudu wengine viungo vyote vizima? Hapana aise hata hivyo mbinguni tutapewa miili mipya.
Duh[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom