Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Whisky ni nzuri ee?Bia nakubali ni mbaya ila whiskey ni tiba kiaina. Bia inaongezwa sukari lakini whiskey ni full mchujo without shugar
Whisky ni nzuri ee?Bia nakubali ni mbaya ila whiskey ni tiba kiaina. Bia inaongezwa sukari lakini whiskey ni full mchujo without shugar
Tuambie tunywe nini kizuri sasaMshana, ulichozungumza, mm ni practical wa pombe kali tangu mwaka 2014. naweza kuzichambua vizuri faida na hasara za whisky, brandy na spirit.
binafsi n mtumiaji mkubwa wa brandy hasa Valuer inayotengenezwa kwa zabibu za dodoma.
spirit springs kama vile Konyagi n mbaya sana kitabibu.. sijui kwann inapigiwa chepuo
Nipatie faida za whiskyTunywe pombe kali lakini tupate vichanganyio sahihi kupunguza madhara kwenye figo na ini
Hapana nadhani panahitaji maelezo zaidi mkuu.. Manake vitabu vina sehemu vinaacha maswali (grey areas) .. kwa maelezo yako naamini wewe ni mkristo mzuri. Embu soma hizi aya halafu tujadilianeSitakufa bali nitaishi kuyasimulia matendo ya BWANA.
Mungu sio Mungu wa wafu,
Walevi wa pombe wote ni wafu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Hapana nadhani panahitaji maelezo zaidi mkuu.. Manake vitabu vina sehemu vinaacha maswali (grey areas) .. kwa maelezo yako naamini wewe ni mkristo mzuri. Embu soma hizi aya halafu tujadiliane
Mwanzo 14:18
Nehemia 2:1
Esther 5:6, 7:1-2
Ayubu: 1:13
Daniel 10:3
1 timotheo 5:23
Mkuu mshana vipi tena?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Vichanganyio kama vipi Mkuu, kwa sisi wanywaji wa spirit?Tunywe pombe kali lakini tupate vichanganyio sahihi kupunguza madhara kwenye figo na ini
Ice na maji ndio the best japo ladha hupunguaVichanganyio kama vipi Mkuu, kwa sisi wanywaji wa spirit?
Ladha na kuondoa uwezekano wa hangover..unajua pombe kali hazipatani kabisa na sukari