Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,188
- 1,898
Wangekuja kuwachukua watumwa huku kama mna undugu nao? bado hadi leo waarabu wana watumwa we umekomaa tu kuwaona ndugu zako.Muisilamu ndugu yake muisilamu
Wangekuja kuwachukua watumwa huku kama mna undugu nao? bado hadi leo waarabu wana watumwa we umekomaa tu kuwaona ndugu zako.Muisilamu ndugu yake muisilamu
Hahaha... akili yako imehifadhiwa nkunduni(makalioni)Egypt hapendi weusi
Egypt upande wa pili wana roho mbaya wajuvi maneno mengii na choyo kwa wengine....
Waziri mkuu wa Ethiopia kapita nchi moja baada ya nyengine kuwa kumbusha lile balaa la njaa lililo wakumba kiasi mapaka Michael Jackson akaimba juu lile balaa ni hatari...
Wangekuja kuwachukua watumwa huku kama mna undugu nao? bado hadi leo waarabu wana watumwa we umekomaa tu kuwaona ndugu zako.
Tatizo hao waarabu wamekaa nchi ambayo sio yao. Ulisoma history ya kush na kemet miaka hiyo walikuwa kama ndugu. They shared everything na hata vita walisaidiana. But since Kemet ilipoanguka kwa kuvamiwa na Romans na Greece then wakaja hao Arabs basi wamejikuta wa naishi na Blacks ilihali hawana love kwa watu weusi. That's why shida unayoiona now. Hiyo ishu yao ya kuchepusha kutoka mto kongo ndo wataharibu kabisa hao wahuni. Watulie tu wabadli maji ya bahari wanywe.
Pointless naijua Egypt nyang'auHuenda wewe ndie una roho mbaya, chuki dhidi ya waaegypt kisa ni waarabu. Alafu Ubaya wa mtu mmoja unawajumuisha wote,,,huwajui wala hawakujui mzehe. Mtu anaishi ikulu/jiji la cairo hukoo atamjulia wapi mmatumbi wa tandale/buza!! Ebu kuwa siriaz mzee.
Sisi tunakama kalaana hivi, huku tuna virgin land mabonde kwa mabonde na maji ya kutosha ila ndiyo hivyo tumekosa viongozi wenye maonoMaji sisi tunayo tele ila hatujui matumizi yake
Mkuu Nchi hapo hivyo! Mwenyezi MUNGU ametupa nchi mzuri sana yenye kila kitu. Wakati wa Rais Hayati JPM kulikuwa na mradi wa kuwapatia maji wakazi Mbezi ya Msumi, Makabe, Madale nk, kuwapatia maji safi na salama kutoka Ruvu Chini, wakati ule watumishi wa Idara ya maji walikuwa bise sana na wakati mwingine wapo site kwa zaidi ya masaa ya kazi. Leo baada ya kifo cha Hayat JPM (RIP) hakuna mtumishi site na hata site inatoweka. Kwa mantiki hiyo ni kwamba tatizo ni VIONGOZINchi ya kisen....g....tumezungukwa na Mito Maziwa Bahari,hapo Dar Mbezi ya Kimara watu hawana maji....
Mkuu unadhani jibu lako litatatua hilo tatizi la Mbezi kupata maji.Kwangu nina kisima kwa hiyo mm sio mseing
Mkuu tupe elimu kidogo. Ni nani wenye hiyo haki ya kugawa?Kwanza maji ya River Congo, Siyo ya Congo kugawa.
Nchi zote zinazohusika na mto Congo, Riparian states zina say kwenye maji hayo. Tanzania, sababu kuna tawi linaanzia lake Tanganyika, CAR, Zambia, Congo Brazaville nk.Mkuu tupe elimu kidogo. Ni nani wenye hiyo haki ya kugawa?
Huna hoja mzehe,,, ni wivu na chuki unakusumbua.Pointless naijua Egypt nyang'au
Wivu wa nn😀. Mwenye wivu anataka maji atumie pekee yake. Ethiopia ndio wamechimba bwawa na wanatumia..Huna hoja mzehe,,, ni wivu na chuki unakusumbua.
We nae unalialia tu nani kakwambia kuwa Kuna mtu anataka kuwatoa. Ni sawa useme nenda kawatoe wazungu pale S. AFRICA. mi nakupa historia ya pale. Na jinsi waarabu na Wazungu wasivyopenda watu weusi so kwao Inakuwa shida kuishi na majirani weusi sababu hawakuzoea wakati Wako huko Arabia. But kipindi kemet Wako weusi na hapo kush aka Ethiopia Wako weusi hawakuwahi kugombana kuhusu hayo maji. Wanashindwa kukaa meza moja waelewane na Ethiopia sababu ya dharau zao wanaona kuwa lazima Ethiopia wakubali kwa kujiona kuwa wao ni bora Sana. Na ndio maana Ethiopia kakaza.Kama ubavu huo unao nenda basi kawaondoe pale,,si unasema nchi sio yao!!!! Nenda kawatoe na sio kulialia hapa. Mbaguzi utamjuwa tu na mwenye chuki utamjuwa tu.
Jitathimini upya mzehe
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
(2:120) And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.
Wakati wanawafanyiwa uovu babu zako ulikuwepo?
waafrika kama wew ni bomu kabisa, unaezaja kutetea jamii zilizotutesa yaan sio waarabu wala wazunu wote ni wapumbav tu , muafrika anaekaa na kuwatetea basi anatatizo la kiakili maana sio zaman tu mpk leo hao watu weupe wanatubagua na hawatupendi kbs , sasa nashangaa na mnashadadia mpk dini zao , punguwan kbs
Wakati wanafanya huo unyama hao waarabu, ulikuwepo? Mimi niko upande wa waarabu na sio mzungu katili,,, maana i know them waarabu hawakufanya huo unyama, na hakuna ushahidi/kithibitisho unao onyesha ukatili huo.