Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,221
- 2,801
Nyuma ya Ethiopia kuna hasimu mkubwa wa Egypt ambaye ni Israel.Ikishindikana ushawishi wa kidiplomasia na mbinu za Geopolitics basi suala hili linaelekea kutatuliwa kwa njia za kijeshi baina ya mahasimu hawa Ethiopia na Egypt.