ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,116
- 49,840
Nchi ya Ethiopia imekamilisha zoezi la kujaza Maji kwenye bwawa kubwa zaidi Africa la Uzalishaji Umeme ambalo lilileta mtafaruku wa kidiplomasia na usalama baina ya Egypt na Ethiopia.
Awali Misri ilisema Kama Ethiopia itaendelea na zoezi la kujaza Maji kwenye bwawa Kwa mpigo au mfululizo basi itachukua hatua zote zikiwamo za Kijeshi Ili Kulinda kile waliita mustakabali wa Nchi yake.
Madai ya Egypt ilikuwa ni kwamba ujazaji wa Maji utaathiri flow ya Mji mto Nile hivyo kupelekea shida kubwa ya maji huko Egypt na Sudan.
Hata hivyo Ethiopia ilipuuza Madai hayo na kuendelea na zoezi na Hatimaye bwawa limejaa na hakuna Maji yaliyopungua huko downstream.
My Take
Hongera sana bwana Abiy Ahmed Kwa kusimamia kidete maslahi ya Yako.
Pili Nature imrwaumbua Waarabu hivyo na sisi tumejifunza kwamba tutatumis Ziwa Victoria Kwa namna tunayoweza bila kupangiwa na vikaragosi wowote.