Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,164
Reaction score
27,418
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego.

Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua.

Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa motisha upige hatua ambazo wao kutokana maybe na kukosa sapoti walishindwa.

Ego has been the number one denominator kusababisa watu tunarudishana nyuma, kuna muda huwa nawaza l, ni why people don't get it?

Ila narudi, kuelewa kuwa false idea ya self(ego) huwa ni kubwa na ime link na survival. Hakuna anaye kubali Kudharaulika na kuonekana alishindwa so watajaribu kuproject fears zao kwako ili nawe urudi pattern zile zile.

As a social creature kwa dunia ya leo unakupasa ukate mzizi wa kudhani kuwa kuna mtu anakuja kuku save au kukupa idea ya wewe unapaswa kufanya nini.

It's your job alone. Either umeajiriwa au umejiajiri just know no body cares, ukifanikiwa watakuja kukupa hongera uchwara na ukifeli watakucheka pia..

Wake your inner energy ⚡ and live according to your own terms.

Jumatano njema🙏
 
Jumanne njema🙏
Edit Jumatano Njema 🙏 Leo Gunner11
 
Andiko zuri sana.

Ego inaweza kufanya uwe juu au uwe chini bila kuzingatia wengine wanakuambia nini kuhusu upambanaji wako.

Mfano:

Healthy ego
Hii ni ego ambayo ina acceptance kwamba mimi tayari najua ila bado nahitaji kujifunza.

Inflated ego.
Hii ni ego ambayo inasema I'm great and no one can give me description of what I'm supposed to do.

Low ego.
Hii ni ego ambayo mtu anaji-descriminate mwenyewe anakubali kushindwa hata hakiwa hajajaribu.

EGO EVALUATION.

healthy ego
Hii ni 100% recommended kwasababu inaweka boundaries baina ya pande mbele namaanisha kiburi na kujiona upo juu.

Inflated ego.
Mbaya sana ina tengeneza downfall na inaziba uwazi wa wewe kuwa best zaidi kwasababu tayari unakuwa unahisi umesha unleash your full potential.

Low ego.
Hapa ndo unachoongelea Gunner11 kwamba wengine wamesha kuwa failure kutokana na ego yao hivyo wana induce na wengine kuona success is impossible.
 
Sasa huu uandishi, haiwezekani kutumia lugha moja, yaan kama Kingereza basi Kingereza au Kiswahili basi Kiswahili kote,
Kumradhi Nipo nje ya mada
Najitahidi ila ndo nimezoea kuandika namna hiyo
 
Andiko zuri sana.

Ego inaweza kufanya uwe juu au uwe chini bila kuzingatia wengine wanakuambia nini kuhusu upambanaji wako.

Mfano:

Healthy ego
Hii ni ego ambayo ina acceptance kwamba mimi tayari najua ila bado nahitaji kujifunza.

Inflated ego.
Hii ni ego ambayo inasema I'm great and no one can give me description of what I'm supposed to do.

Low ego.
Hii ni ego ambayo mtu anaji-descriminate mwenyewe anakubali kushindwa hata hakiwa hajajaribu.

EGO EVALUATION.

healthy ego
Hii ni 100% recommended kwasababu inaweka boundaries baina ya pande mbele namaanisha kiburi na kujiona upo juu.

Inflated ego.
Mbaya sana ina tengeneza downfall na inaziba uwazi wa wewe kuwa best zaidi kwasababu tayari unakuwa unahisi umesha unleash your full potential.

Low ego.
Hapa ndo unachoongelea Gunner11 kwamba wengine wamesha kuwa failure kutokana na ego yao hivyo wana induce na wengine kuona success is impossible.
Sahihi mkuu..

Healthy ego should be recommended
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom