Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,359
Huyo jau ๐Damn fwaak ๐๐
Selikavu huyu tukamsomee kesi anajifanya haoni kelele kule ๐๐
Huyo jau ๐Damn fwaak ๐๐
Locked in Iceman album by drake
Selikavu andaa file la kesi.Locked in Iceman album by drake
Unapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize ๐
Unapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize ๐
Sema atleast twitch kuliko YouTube ๐haisumbui sanaSikuwa naelewa zile settings pale, mtandao wenyewe mgeni nao ๐
WekaMkuu acha nongwa kelele za hela waachie chura, au ka vipi tu display bank statement zetu hapa.
Kucheza game hakuhusiani na utafutaji, ka ushazoea uamke ndio ule hilo ni lako
Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.Ipo bana.. na nishakuona ๐
Nimeota unataka kunipiga goal 20
We mtombweni upoYan watu wanalalamika mishahara hawaioni hadi muda huu, kuna wengne huku wanaangaika na efootball ๐๐
Dunia hii hatar sana
Eeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin ๐๐๐Unapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize ๐
Bando pia halitembei sana.Sema atleast twitch kuliko YouTube ๐haisumbui sana
Kesho ntakurekodia penalty yangu๐Eeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin ๐๐๐
Nimeota unataka kunitoa mafua ๐Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.
Umeisha๐๐Imegine uwe umejisahau umeenda room halafu injury ipo ON ๐
Song mshenzi sana๐คฃBaba babaa ๐๐
Kwan kelele za F zimetoka wap kama sio kule ๐๐๐