Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,397
- 102,161
Intelli monstrous
Miss bebe nimehama 🤣MsBeverlyn au MissBebe?
Ipo bana.. na nishakuona 😂MsBeverlyn
Hii username haipo mkuu
😂😂 mwambie Seli afanye jamboUnakimbia sana 😂
Kuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.😃Yan watu wanalalamika mishahara hawaioni hadi muda huu, kuna wengne huku wanaangaika na efootball 😄😄
Dunia hii hatar sana
Punguza kuchamba tafuta pesa kijana muda haukusubirKuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.😃
Aah inabid tuandae kesho jumapili tufanye streamingNilikuwa na kazi ya kumaliza matchpass, kukikucha streamers watafanya jambo 😂
Ndo jina lako la efootball 😅😅Intelli monstrous
Umeweka Ms badala ya Miss ndo maana hawakuoniMiss bebe nimehama 🤣
Hapana cheza na trainer akee
Add hiyo MsBeverlyn
Sio mwema kabisa huyo😅Ipo bana.. na nishakuona 😂
Nimeota unataka kunipiga goal 20
We hizo hela unazo?Punguza kuchamba tafuta pesa kijana muda haukusubir
Ngoja tujifunze kuokoa kwanza tukiingia Room ni kubutua tuu,😅😅😂😂 mwambie Seli afanye jambo
Nkuonje..
skukimbiii, nalala sana 🤣🤣
Ignore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwanKuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.😃
Nasikia wana niita Baba fateha, watu wana maneno aisee 😅Ndo jina lako la efootball 😅😅
Kwahiyo leo unamkataa Fateha kaka😅😅Nasikia wana niita Baba fateha, watu wana maneno aisee 😅
Kaka mambo ni mengi, nikikaa sawa nitasema siku hizi nina zali la F 😅Kwahiyo leo unamkataa Fateha kaka😅😅
Angalia usiende FFU😅😅😅Kaka mambo ni mengi, nikikaa sawa nitasema siku hizi nina zali la F 😅
Jamaa anatuwaz san huyu😃😃Ignore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwan