Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,264
- 29,345
Dj Boba wamepeleke Goba🤣Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.
Dj Boba wamepeleke Goba🤣Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.
😃😃😃Nitachange tu Id mimi kuepuka DhahamaEeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin 😂😂😂
Tutatumia Fluban yataisha hayo.Nimeota unataka kunitoa mafua 😂
Kweli upo mafunzoni 😂
Selikavu andaa pambano mkuu, naanza kuelemewa 😂Kesho ntakurekodia penalty yangu😂
We unampelekea mkononi kama mwacheza rede
Injury zitatawala mpaka subs 😂Umeisha😃😃
Yuko mute kule kama hakuna kinachoendelea 😂Kwan kelele za F zimetoka wap kama sio kule 😃😃😃
Kwahiyo shem amebeba mimba mpaka anajifunga mie sijui, mkuu kwanini umenificha taarifa kama hii?Muanze kunilipa nina familia saiv😃😃😃
Nimeshaanza kuogopa 😂😃😃😃Nitachange tu Id mimi kuepuka Dhahama
MnakimbianaUpo mzee?
😂😂 pass zina shida gani zikiwa mingiKweli upo mafunzoni 😂
Nitaiga kupiga tackles ila siyo hizo pasi 😂🙌
Kampelekea et kabisa kama anamdakisha rede😂Mlidharau somo
Apo andaa room ukajichapie huyoKampelekea et kabisa kama anamdakisha rede😂
Amna me naona kipa wangu anaruka Vice versaMlidharau somo
Jaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikonoAmna me naona kipa wangu anaruka Vice versa
😂😂 mwisho nitoke bila ndala huko