Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 744
- 1,826
Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.😂😂 mwisho nitoke bila ndala huko
Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.😂😂 mwisho nitoke bila ndala huko
Shida labda ni FYuko mute kule kama hakuna kinachoendelea 😂
WarlD kaninyoosha room balaaUpo mzee?
Watamuua 😃😃
Me nacheza na upande tu anaoruka najua akiruka mara mbili halud tena mpk siku kadhaaJaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikono
Amna mtu hapoNani anamjua huyu star?
Yani nikiangalia hizo pasi nakuona pro kama Corrie de killer, sifikishagi hizo namba 😂😂😂 pass zina shida gani zikiwa mingi
Hapo ndo huwa napiga mara nyingi, wiki yote hii nimemfunga kwa kupiga hapo, leo kaniotea 😂Kampelekea et kabisa kama anamdakisha rede😂
Eeh kaka asinifunge nyingi tu ntazila 😂
Code tukamuoneNani anamjua huyu star?
Mi mwema 😂🙌😂😂 mwisho nitoke bila ndala huko
Fala 😂Bado hujasema😃😃
Bora wewe ulivyosema, Depal unionje tafadhali 😂Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.
Sa mbona hujatuonyeshaWarlD kaninyoosha room balaa
Niache 😂Fala wewe😃😃😃
Acha basi sasa kwa ubora gani niliokuwa nao na kila siku unanifunga halafu wewe ndo trainer wake 😂🙌Watamuua 😃😃
😂😂 asante kwa doso.. wacha nijionjee Razor kwanzaUkishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.