lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 588
- 1,240
Jamaa anatuwaz san huyu😃😃Ignore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwan
Hawa ndio wale walikuwag masnitch san kipind wako maskonga
Jamaa anatuwaz san huyu😃😃Ignore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwan
ni mwecheche, sema f wote wako na rating ya 8-9.5
Mm sio hoehaeWe hizo hela unazo?
Piga ignore tuuuJamaa anatuwaz san huyu😃😃
Hawa ndio wale walikuwag masnitch san kipind wako maskonga
Aah umekutana na Fernando Torres, Frank Lampard na Ferderico Valvedeni mwecheche, sema f wote wako na rating ya 8-9.5
Twend tuguse mech mbili tuPiga ignore tuuu
Unabadilisha username kama jasusi 😂Miss bebe nimehama 🤣
Hapana cheza na trainer akee
Add hiyo MsBeverlyn
Ngoja nimsajili valvede hapa mancity, maana mbape alifeli nika muuzaAah umekutana na Fernando Torres, Frank Lampard na Ferderico Valvede
Usiku ndo muda mzuri wa kunionja, mchana utanimaliza 😂🙌😂😂 mwambie Seli afanye jambo
Nkuonje..
skukimbiii, nalala sana 🤣🤣
Azitoe wapiWe hizo hela unazo?
Umeenda City lini?? Si ulisema upo PSGNgoja nimsajili valvede hapa mancity, maana mbape alifeli nika muuza
Nitajaribu kwa kutumia mtandao mwengine nione kama itakuwa bado inalag.Aah inabid tuandae kesho jumapili tufanye streaming
😃😃nimeamua nikae kmy tuAzitoe wapi
Na huo msuko wake avatar.. anawaiga black americans wakati ye yupo Tz ndani ndani huko
😂 nawachanganya watesi ..Unabadilisha username kama jasusi 😂
Ili unikute nasinzia unibutue?Usiku ndo muda mzuri wa kunionja, mchana utanimaliza 😂🙌
Angekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula 😂We hizo hela unazo?
uwezo kaka, offers ni nyingi mno 😂Umeenda City lini?? Si ulisema upo PSG
Siku ile umestream uliweka setting za stream vibaya ilikua haionekani vizuri...Nitajaribu kwa kutumia mtandao mwengine nione kama itakuwa bado inalag.
Mbele mbele yao 😂Ngoja tujifunze kuokoa kwanza tukiingia Room ni kubutua tuu,😅😅
Mnaziona tackles lakin😅