lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 925
- 1,997
Hili linaweza kuwa kwel mzee😄😄😄Angekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula 😂
Konami wameua ajira za watu 😂🙌