Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
Kwa kutumia coins au GP zile ela pale juu ?Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
Kwa kutumia coins au GP zile ela pale juu ?Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
Ungekuja jana uone utatu mtakatifu unavyopiga kazi HBM 😂Dadeki Umeni fedhehesha sana leo tupamde😂😂😂🔥🔥
Atuachie 😂
Screenshot home page ya game tuone coins na ela ulizo nazoMsaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
Kabla ya wachezaji kwanza huyo kocha playstyle yake ni Out Wide na siyo Quick Counter, nenda ubadirishe.Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
😂una jitetea ya jana yaache jana, leo ni leoUngekuja jana uone utatu mtakatifu unavyopiga kazi HBM 😂
Si ndioAtuachie 😂
Kama upo tuguse chap chap kabla mambo hayajakua mengi 😂😂una jitetea ya jana yaache jana, leo ni leo
😹badae badae watu waamke ,unq taka kufanya siriKama upo tuguse chap chap kabla mambo hayajakua mengi 😂
Hamna shida mkuuMkuu samahani aiseh nlipitiwa na usingizi ndo nashtuka muda huu...nitaomba tucheze leo muda wowote.
Ulikuwa events sio hao ni loan player ambao unawatumia tu kwenye hiyo match basi ndo maana unaona wapo na hicho kialama juuMsaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
Aseee😃🙌Kabla ya wachezaji kwanza huyo kocha playstyle yake ni Out Wide na siyo Quick Counter, nenda ubadirishe.
Hizo card zenye alama kama ya saa ni za mkopo, bila shaka hiyo ni event.
Kuhusu kufanya usajili unaweza tumia GP kupata standard players lakini kama unazo coins za kutosha unaweza spin(sikushauri 😂)
Ngoja aje mwalimu wa wanafunzi wengi humu aje kukuelekeza vizuri.
Selikavu
Wazaramo official mmekutana 😃🙌😹badae badae watu waamke ,unq taka kufanya siri
Mkuu hili game lina vitu vingi sana ambavyo unatakiwa uvijue viweze kukusaidia
Cha kwanza sijajua settings zako unatumia zipo kama ni Virtual Pad au Touch and flick
Kama unatumia hiyo ya pili badilisha weka ya kwanza
Then kwenye Joystick unaweza kuta ipo off
Weka move
Then ukitoka hapo kwenye ukabaji upo wa aina mbili
Ukabaji wa kutumia Pressure and Dash ukishika hiyo hushiki direction unashika hiyo tuu mchezaji anafata mpira mwenyewe kuapply pressure alafu baada ya hapo kuna ukabaji wa match up huu unahitaji kushika Match up pamoja na Direction stick ya mchezaji aende kukaba na mara nyingi unakaba kwa mbele ya mchezaji ili uziie pasi au shoot akipiga na pia hii ya matchup ni effective system ya kukaba...
Pia chagua formation Moja ambayo ipo balanced ambayo utaizoea kama 4222 au 4312 na pia angalia playstyle za wachezaji kila sehemu
Mfano kiungo wako namba sita ni heri akawa Anchorman ambaye yeye kazi yake ni kuwalinda mabeki au Orcharchestor ambaye anafata mpira chini kabisa golin na kuanzisha mashambulizi ila ukicheza na Box to Box hawa jamaa wapo kila sehemu...
The same goes to CBs na Full backs wako nao wapo na playstyle zao
Kama huzifahamu tutakuelekeza...
For now this is all i can share
Ukitaka ziadi kuna master Kandambili yupo atakupa ujuzi😃😃😃
Tupo pamoja.
Boonyeza palipoandikwa Extras
View attachment 3458711
Halafu utabonyeza Game Settings
View attachment 3458715
Halafu utabonyeza Play Settings
View attachment 3458716
Halafu utaweka hizi settings.
View attachment 3458717
Ukihitaji kuweka settings zaidi utakuwa ukiuliza kulingana na settings zilizopo hapo.
Pia weka kikosi chako hapa ili tukusaidie kupanga kulingana na playstyle unayotaka/unayotumia.
Kwani na we upo kwenye ligi? 🥴Game yangu sijui alinahack vidole eti wakt anashambulia vidole vinajaa majasho😃😃
Wewe ndo uliyeanza kuitaka mechi halafu umekimbia utadhani umeona madhabau/msikiti 😂😂😂😹badae badae watu waamke ,unq taka kufanya siri
Nipo mzee😃😃Kwani na we upo kwenye ligi? 🥴
Mlikuwa mnacheza kwenye LaptopLeo nilikuwa huku wakuu, hata kushika pad nimesahau 😂
View attachment 3466602
View attachment 3466605