Taliyah ertex
Member
- Feb 17, 2024
- 18
- 23
😂😂🤣🤣 tunza coin Konami wana tuchuzaa mzee utanikumbukaHuwezi tuelewa kaka sisi wazee wa haram football 😃😃😃yan hapa nina coins 520 mpaka week ijayo naona mbali kwel 😃
😂😂🤣🤣 tunza coin Konami wana tuchuzaa mzee utanikumbukaHuwezi tuelewa kaka sisi wazee wa haram football 😃😃😃yan hapa nina coins 520 mpaka week ijayo naona mbali kwel 😃
Coin kutunza ni mtihani kwakwel ,😃😃😂😂🤣🤣 tunza coin Konami wana tuchuzaa mzee utanikumbuka
Najua ni ngumu lakini uko mbele week 3 zijazo ni motoCoin kutunza ni mtihani kwakwel ,😃😃
Hapo ngoja nichukue huyo kocha then nianze zoez la kutunza coin japo najua siwezi
Aah... Sawa mkuuNajua ni ngumu lakini uko mbele week 3 zijazo ni moto
Leta username mkuu tupandeKutunza coin za efootball ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule! View attachment 3466671
Ndiyo mkuu.Mlikuwa mnacheza kwenye Laptop
Nimeona pad tuu😃Ndiyo mkuu.
Duh ni hatariWanangu tutaonana tena baada ya siku tisini😃😃
Instagram napatikana kwa Selikavu feel free to check me anytime 😃😃
Uzuri muda wetu wa Friendly unafahamika😃😃
Razorblade na Gilberto tukutane Whatsapp 😂😂😂
😹😹Wazaramo official mmekutana 😃🙌
Hii sasa ndo Kariakoo Derby mpya hakuna mnyonge kwenye Tambo😃😃😃
Ladies and Gentlemen we have a new Kariakoo Derby😃😃😃View attachment 3466493
Maisha haya bila vpn kwenye simu hutoboi, kama vipi tuhamieni Telegram 😂Wameiona kweli😅
Maana hamna namna😅 uzi ulikua unakua wanaturudisha nyumaMaisha haya bila vpn kwenye simu hutoboi, kama vipi tuhamieni Telegram 😂
Nasikia ni siku 90, aisee ni nyingi sana watu waje tukubaliane tuhamie telegram tuendelee na ratiba zetu mpaka kutakapokaa sawa.Maana hamna namna😅 uzi ulikua unakua wanaturudisha nyuma