Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Mimi sina haraka nae 😂😃😃😃Cheza nae tuu😃😃 saivi unakaribia nchi ya ahadi😃😃
Mimi sina haraka nae 😂😃😃😃Cheza nae tuu😃😃 saivi unakaribia nchi ya ahadi😃😃
Badge ya dvn 1 haina raha bila kumfunga NEG 😂Yan hiyo kwake ni bora kuliko hata badge ya division one😃😃
Hakikisha hujikufanya makosa 😂Dah ngoja niendelee kujifua😅
😅😅kaka nikimbie wapi tena😃😃Negan hawezi labda Mr Devil😂😂😂
😅😅toka drogba na kitambi chake ani vizie basi ume weka kumbukumbu kabisaHata goli 1 tu kwangu itakuwa sherehe 😂
Huyo shetani hanisumbui maana amenifunga baada ya update 😂
Wewe hamna kitu bhana 😂😂😂😅😅toka drogba na kitambi chake ani vizie basi ume weka kumbukumbu kabisa
Umkimbie kijana na maneno yake😃😃😅😅kaka nikimbie wapi tena
Huyo kama Warld haji leoAlexander Lukashenko njoo uchukue point zako mkuu.
Edo kissyWakuu tunaendelea leo
Mill broh vs Corrie de killer
Alexander Lukashenko vs Razorblade
Edo kissy vs Gilberto_
Warld va Selikavu
Kandambili1 vs NEGAN
Kiwake sasa😃😃
View attachment 3465454
Kaka, upo?Gilberto_ tumalizie kiporo chetu
Mm nipo tuma code
Sawa kakaMm nipo tuma code
08975075Mm nipo tuma code
Doh basi nikacheze my league tu.Huyo kama Warld haji leo
Wanazibua hao utaleta mrejesho hapa 😃😃Doh basi nikacheze my league tu.