NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Kaza vidole unafika chap tuHiyo siwezi fika hata dvn 3 sahizi mkuu hahahaha....ubaki na ubingwa wako
Kaza vidole unafika chap tuHiyo siwezi fika hata dvn 3 sahizi mkuu hahahaha....ubaki na ubingwa wako
Poa mkuu nimekusoma vyema.Aah kumbe una wiki tu mkuu, endelea ujaze hata miezi miwili tayari utakuwa ushalizoea game kaka..
Pambana na AI kwa wewe usiweke legend mode zitakusumbua mno, anzia professional pale kushuka chini, hiyo professional yenyewe ikikusumbua iache weka ya chini yake..
Na hili game saivi kupata kikosi ni chapu tu, mpaka hiyo miezi miwili ipite nadhani utakuwa tayari kwenye strength nzuri.
Uzuri ushakuwa mcheza magemu ya mpira kabla, ko we uhakika utalimasta tu soon.
Al mkuuunafungwa ukiwa unacheza pvp, AI au friend matches tu??
Nilipoona vipigo vinazidi nilitafuta formation moja na aina moja ya mpira...nikaupigia mazoezi mda wote kwenye match najua wapi nitapiga pass ...vingine najifunza taratibu bado mkuu..
Muda mwingine unafungwa sababu ya kuwa na kikosi kidogo chenye strength ndogo...
Mtego huu, uIkifika usiku ui ibe tena 🤣Account yangu ya myunani 10K tuu😃😃sina shida mie aje achukue
Siwezi badilisha Email kabisa😃😃Mtego huu, uIkifika usiku ui ibe tena 🤣
Tyrion ni mtu wewe yule jamaa ni kichwa 😃😃😃Bora hao kuliko malaya Imp 😂😂😂
Coca yake ipo lazima akutane na standard card kwanza😃😃😃Unamuuzia shemeji?
Ndo huko ukipaweza huko hakuna mtu atakufunga friendly...Dvn sipawezi mkuu... Mara Kuna mda game ya mwisho network tu imeanza kata kistack mara kibao hahahaha
Dah hiyo series sijawai imaliza aseee nishamkumbuka mwanangu Klaus kichwa kibovu😃😃😃Au Kumar Singh "Mystic falls to New Orleans " 😅 vampire diaries
Hii phase sina muda ila ijao inshallah nitafika nimpe badge yangu Razor😃😃Challenge mpya mfike vs AI division 1 sasa😅
Naanza kuwapigia kelele acheni uvivu😅
Selikavu Kandambili1 Mill broh Gilberto_
Endelea kukaza vidole mwanzo mgumuGame zuri ila nafungwa hadi nakata tamaa.
Mkuu hili game lina vitu vingi sana ambavyo unatakiwa uvijue viweze kukusaidiaNina week nimeanza kulicheza nilizoea dream league aisee napigwa sasa hivi nacheza na professional huyo isack mda wote anaingia kambani, changamoto niliyonayo kuchenga siwezi pia kuwakaba inakua changamoto sana wenyewe wanapiga chenga na kupress ila mimi siwezi nikigusa tuu wameninyanganya. All in all game zuri.
Sema ulikuja na moto wa Pvp😃😃unafungwa ukiwa unacheza pvp, AI au friend matches tu??
Nilipoona vipigo vinazidi nilitafuta formation moja na aina moja ya mpira...nikaupigia mazoezi mda wote kwenye match najua wapi nitapiga pass ...vingine najifunza taratibu bado mkuu..
Muda mwingine unafungwa sababu ya kuwa na kikosi kidogo chenye strength ndogo...
Mkuu hapa sielewi kitu kuna jamaa tuu alinisaidia kuinstall hili game akanielekeza vitu vidogo mengine akaset mwenyewe akasepa, nimejaribu kutafuta setting ilipo ili niangalie hayo mambo ulionielekeza ila sijaona mkuu.Mkuu hili game lina vitu vingi sana ambavyo unatakiwa uvijue viweze kukusaidia
Cha kwanza sijajua settings zako unatumia zipo kama ni Virtual Pad au Touch and flick
Kama unatumia hiyo ya pili badilisha weka ya kwanza
Then kwenye Joystick unaweza kuta ipo off
Weka move
Then ukitoka hapo kwenye ukabaji upo wa aina mbili
Ukabaji wa kutumia Pressure and Dash ukishika hiyo hushiki direction unashika hiyo tuu mchezaji anafata mpira mwenyewe kuapply pressure alafu baada ya hapo kuna ukabaji wa match up huu unahitaji kushika Match up pamoja na Direction stick ya mchezaji aende kukaba na mara nyingi unakaba kwa mbele ya mchezaji ili uziie pasi au shoot akipiga na pia hii ya matchup ni effective system ya kukaba...
Pia chagua formation Moja ambayo ipo balanced ambayo utaizoea kama 4222 au 4312 na pia angalia playstyle za wachezaji kila sehemu
Mfano kiungo wako namba sita ni heri akawa Anchorman ambaye yeye kazi yake ni kuwalinda mabeki au Orcharchestor ambaye anafata mpira chini kabisa golin na kuanzisha mashambulizi ila ukicheza na Box to Box hawa jamaa wapo kila sehemu...
The same goes to CBs na Full backs wako nao wapo na playstyle zao
Kama huzifahamu tutakuelekeza...
For now this is all i can share
Ukitaka ziadi kuna master Kandambili yupo atakupa ujuzi😃😃😃
Mkuu hili game lina vitu vingi sana ambavyo unatakiwa uvijue viweze kukusaidia

We're Open, You're Welcome.Game zuri ila nafungwa hadi nakata tamaa.
Mkuu kuna vipigo sio poa.We're Open, You're Welcome.
😂😂😂