Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Uhakika.Niliitoa ngoja nikabebe nijifunze taratbu
Uhakika.Niliitoa ngoja nikabebe nijifunze taratbu
Kama mimi navyokandwa humu, peke yangu ndiyo noob.Mkuu kuna vipigo sio poa.
Nikirudi kama watakuwa bado hawajakuoa maelejezo nitakuwekea hapa kwa picha.
Utakua umenisaidia sana mkuu. Thanks in advance.Nikirudi kama watakuwa bado hawajakuoa maelejezo nitakuwekea hapa kwa picha.
Tupo pamoja.Utakua umenisaidia sana mkuu. Thanks in advance.
Unatumia Virtual pad.. hapo ni sahihi lakin direction umeweka Off so nenda kwenye Extras then game setting then Play setting then nenda kwenye directional stick weka move
We're Open, You're Welcome.
😂😂😂(joke)
😂😂😂nyie ni ndugu kabisa ina bidi muelekezane kupunguza vipigoMkuu kuna vipigo sio poa.
Mimi noob nitaelekeza nini mkuu? 😂😂😂😂nyie ni ndugu kabisa ina bidi muelekezane kupunguza vipigo
😂wahuni wana bonda bhana,, una tumia camera gan kwenye play game ukute umeweka ile unayo muona mchezaji tu huoni pass inako endaMimi noob nitaelekeza nini mkuu? 😂
Endelea kucheka mkuu, nikishindwa kupata namna nzuri ya kuzuia naingia zangu town kuchukua pad 😂😂😂
Camera haizuii kipondo 😂😂wahuni wana bonda bhana,, una tumia camera gan kwenye play game ukute umeweka ile unayo muona mchezaji tu huoni pass inako enda
Mkuu aisee direction nimeweka on kama ulivyonielekeza nimeshinda 5 hahaUnatumia Virtual pad.. hapo ni sahihi lakin direction umeweka Off so nenda kwenye Extras then game setting then Play setting then nenda kwenye directional stick weka move
Sawa mkuu naweka kikosi, shukrani sana.Tupo pamoja.
Boonyeza palipoandikwa Extras
View attachment 3458711
Halafu utabonyeza Game Settings
View attachment 3458715
Halafu utabonyeza Play Settings
View attachment 3458716
Halafu utaweka hizi settings.
View attachment 3458717
Ukihitaji kuweka settings zaidi utakuwa ukiuliza kulingana na settings zilizopo hapo.
Pia weka kikosi chako hapa ili tukusaidie kupanga kulingana na playstyle unayotaka/unayotumia.
Kikosi changu ni hikiTupo pamoja.
Boonyeza palipoandikwa Extras
View attachment 3458711
Halafu utabonyeza Game Settings
View attachment 3458715
Halafu utabonyeza Play Settings
View attachment 3458716
Halafu utaweka hizi settings.
View attachment 3458717
Ukihitaji kuweka settings zaidi utakuwa ukiuliza kulingana na settings zilizopo hapo.
Pia weka kikosi chako hapa ili tukusaidie kupanga kulingana na playstyle unayotaka/unayotumia.
Yeah nilijua tuu hujaset on😃Mkuu aisee direction nimeweka on kama ulivyonielekeza nimeshinda 5 hahaView attachment 3458822
Tupo pamoja, weka username yako tukuadd ili unifundishe kukaba.Sawa mkuu naweka kikosi, shukrani sana.
Fresh sana mkuu, vp kwenye corner nafanyaje ili nifunge kwa kichwa?Yeah nilijua tuu hujaset on😃
Mengine utazidi kuyapata hapa hapa
Safi, ukijua hili game utaona kabisa DLS ni takataka 😂Kikosi changu ni hikiView attachment 3458831View attachment 3458832
Endelea kukomaa mkuu hicho kitakuwa chap...Kikosi changu ni hikiView attachment 3458831View attachment 3458832
Komaa na mambo muhimu kama kuzuia na kushambulia kwa kutengeneza nafasi, kona hazifundishwi utajua tu taratibu.Fresh sana mkuu, vp kwenye corner nafanyaje ili nifunge kwa kichwa?
Bado sanaa mkuu 😃😃😃me mwenyewe na u pro wangu kona nimefunga 5 tuu 🤣🤣Fresh sana mkuu, vp kwenye corner nafanyaje ili nifunge kwa kichwa?