Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,143
- 5,562
Huyu wako ni sawa na wa warld au tofauti 😃
Angalia idadi ya mechi fala wewe 😂Huyu wako ni sawa na wa warld au tofauti 😃
Tusamehe braza
Kuna assist kapiga nmebaki nmeshika kichwa yani pass huku anatoa maelekezo kwa Diof oyah RazorbladeTusamehe braza View attachment 3647498
Mkuu hili jamaa limenitolea assist huko dvn hadi nikashituka, yule fala akaniachia giza nikashindwa kurecord 😂Kuna assist kapiga nmebaki nmeshika kichwa yani pass huku anatoa maelekezo kwa Diof oyah Razorblade
😃😃Mnataka manyonyo yasitoe maziwa mtoto akashiba eheeKwema apo .
Ulitaka nkuombe code 🤠🤠😂😂
Vina mwisho hivi😃Mkuu hili jamaa limenitolea assist huko dvn hadi nikashituka, yule fala akaniachia giza nikashindwa kurecord 😂
Huyo mtoto wa kike au wakiume? Ankali sina taarifa 😂
Wangu mechi 20 assist 7 goli 5 😂Vina mwisho hivi😃
😅😅 safiii safiiiHuyo mtoto wa kike au wakiume? Ankali sina taarifa 😂
Twende GGR 😂😅😅 safiii safiii
GGR? Haina noma twendeTwende GGR 😂
Umepiga penalty kwanza?GGR? Haina noma twende
Nipe code
Umefungua imekudai nini?
Asee 😃