Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nikishindwa naweka AI control 😂Wanazibua hao utaleta mrejesho hapa 😃😃
Nikishindwa naweka AI control 😂Wanazibua hao utaleta mrejesho hapa 😃😃
Mimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie😃😃Mm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
dah ww unaonekana masta snaMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie😃😃
Naonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sana😃😃dah ww unaonekana masta sna
Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sanaNaonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sana😃😃
Mkuu wasiwasi wako tuu😃😃Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sana
Utauponza 😂dah ww unaonekana masta sna
Dadeki Umeni fedhehesha sana leo tupamde😂😂😂🔥🔥Wewe hamna kitu bhana 😂😂😂
Mkuu samahani aiseh nlipitiwa na usingizi ndo nashtuka muda huu...nitaomba tucheze leo muda wowote.Ni balaa bado mapema😅
Dream league game lakitoto arafu baya sana...Dream League Soccer ndio habari ya mjini.
Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hiviKikosi changu cha mwisho kukitumia nimebonda sana wahindi online match wanaquit 😂na hio formation ya 4222 ya Rafael Benitez.
Ilikua mwendo wa counter attacking football tu. Nilikua na asrosto nalo balaa sasa tangu nihisi account yangu wameshaifuta mzuka nalo umepotea.View attachment 2812465View attachment 2812466View attachment 2812467
Niko hapa kaka humu vibonde tupo wawili tu,Mimi na Razorblade 😂Mm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
😂😂kaka una tufukuzia training yetuMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie😃😃