eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Link ya Telegram hii hapa...

Kama huwez kuiaccess utaniambia mimi au Razorblade kuna namna ya kujiunga na telegram kwa sasa
 
Kwa atakaeihitaji ashushe vpn ya 1.1.1.1 kutoka playstore halafu ajiunge telegram baada ya hapo afiche taarifa zake binafsi kabla hajajiunga kwenye group.

Akishajiunga kwenye group atakutana na proxy ambazo zitamuwezesha kutumia telegram bila vpn.
 
Hapana, Telegram situmii
Okay nipe username yako

Kuna kitu kinaitwa treasure link hii ukiichukua unapata zile chance deals za kujaribu bahati ya kupata wachezaji zaid ya 80...

Nipe username yako then ingia online utaona invite pale juu ya friend accept then nitakuinvite room join... Tutaenda kwenye match hatuchezi na usikabe me nitafunga goli moja match itaisha then utaanza kupewa rewards zako kuwa mtulivu kuna moja itakuja ya hivi
Screenshot_20250829-133503.png

Ikija usibonyeze next bonyeza kati kati ya hilo box la Gold itafunguka ndani chini kabisa pemben wameandika acquire utabonyeza watakuuliza kama ufanye favorite utakubali au utakataa haina shida....

Tutaenda match tatu zote zikiisha fanya hivi ukizipata zote tatu ludi hapa nikupe maelekezo mengine sasa
 
Okay nipe username yako

Kuna kitu kinaitwa treasure link hii ukiichukua unapata zile chance deals za kujaribu bahati ya kupata wachezaji zaid ya 80...

Nipe username yako then ingia online utaona invite pale juu ya friend accept then nitakuinvite room join... Tutaenda kwenye match hatuchezi na usikabe me nitafunga goli moja match itaisha then utaanza kupewa rewards zako kuwa mtulivu kuna moja itakuja ya hiviView attachment 3467102

Ikija usibonyeze next bonyeza kati kati ya hilo box la Gold itafunguka ndani chini kabisa pemben wameandika acquire utabonyeza watakuuliza kama ufanye favorite utakubali au utakataa haina shida....

Tutaenda match tatu zote zikiisha fanya hivi ukizipata zote tatu ludi hapa nikupe maelekezo mengine sasa
Username SM969 twenzao
 
Tayari huko lete maelekezo mengine
Umezipata hizo zote tatu sio...

Sasa tutalud Room hizi match mbili ushinde me sitokaba we ufunge goli match iishe

Baaada ya match mbili kuisha lud hapa mwanzon...

Bonyeza kwenye match...

Chagua efootball league

Chagua Vs AI cheza mechi tatu alafu ushinde zote za efootball league na hao Ai shida zote

Ukilud hapa mwanzo nenda kwenye contract utakuta zipo kama 80 hivi nenda pale walipo akina torres aza kuspine moja moja mpka zote ziishe ukipata mcheza mzuri kama Torres au yoyote wao wanakuwa na boosters kwenye card zao kialama cha blue chenye nembo ya Efootball kdg hivi utasema
 
Ngoja nikuinvite sasa
 
Back
Top Bottom