eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

1. Mbinu ya Peer-to-peer (P2P).

Wapinzani wanaungana moja kwa moja. Kupitia njia hii, watumiaji wanaweza kushindana dhidi ya kila mmoja kwa urahisi, hata katika maeneo yaliyo mbali na seva za mchezo. Hata hivyo, uchezaji wa mchezo utaathiriwa na ubora wa muunganisho wa kila mtumiaji (upungufu, uthabiti, n.k.).
IMG-20250417-WA0016.jpg

2. Mbinu ya Mteja-Seva

Watumiaji huunganisha kwenye seva ya mchezo na data inatumwa na kupokelewa ili mechi ziweze kuchezwa. Kila muunganisho wa mtandao wa mtumiaji hauathiriwi na ubora wa muunganisho wa mtumiaji mwingine (upungufu, uthabiti, n.k.) au utendaji wa kifaa. Kwa kuwa seva ya mchezo inadhibiti muunganisho na maendeleo ya mechi, inafaa katika kuzuia udanganyifu na kubaini mshindi wakati mtu anakata muunganisho.
IMG-20250417-WA0015.jpg

Selikavu kama ulipanda dvn kwa sababu baadhi ya wapinzani wako network yao kuwa mbovu safari hii kitakuramba 😂.
 
1. Mbinu ya Peer-to-peer (P2P).

Wapinzani wanaungana moja kwa moja. Kupitia njia hii, watumiaji wanaweza kushindana dhidi ya kila mmoja kwa urahisi, hata katika maeneo yaliyo mbali na seva za mchezo. Hata hivyo, uchezaji wa mchezo utaathiriwa na ubora wa muunganisho wa kila mtumiaji (upungufu, uthabiti, n.k.).
View attachment 3307146

2. Mbinu ya Mteja-Seva

Watumiaji huunganisha kwenye seva ya mchezo na data inatumwa na kupokelewa ili mechi ziweze kuchezwa. Kila muunganisho wa mtandao wa mtumiaji hauathiriwi na ubora wa muunganisho wa mtumiaji mwingine (upungufu, uthabiti, n.k.) au utendaji wa kifaa. Kwa kuwa seva ya mchezo inadhibiti muunganisho na maendeleo ya mechi, inafaa katika kuzuia udanganyifu na kubaini mshindi wakati mtu anakata muunganisho.
View attachment 3307147

Selikavu kama ulipanda dvn kwa sababu baadhi ya wapinzani wako network yao kuwa mbovu safari hii kitakuramba 😂.
Na ni wengi walikuwa na net ya hovyo

Sena walinipigia script hiyo moja hataree

Nilivyofika 1480 nilianza kupewa watu wa 3160 plus tuu
 
Update tayali ..

Nilitumia nominating contract zangu vibaya alafu wamewaleta Kane na Calhanolgu nawataka na nikichek nominating contract kwenye match pass ya 5star ipo moja
 
Hawa jamaa wanazidi kutaka kuteka watu kwa hizi update zao.

IMG-20250417-WA0043.jpg

IMG-20250417-WA0044.jpg

IMG-20250417-WA0045.jpg

Wameamua kutuwekea machaguo kwenye efootball league, binafsi siwezi cheza kwenye AI maana inakuhitaji point nyingi kuwa promoted kuliko PvP.
 
Smart assist kwenye division 🚮
Wangetuacha fu bila smart assist

Wakati nacheza Pvp nilizoea smart assist nimekuja huku kwenye league nilipata sana tabu mwanzoni hasa kwenye kufunga saiv nimeshazoea wanailudisha tena😀🙂‍↔️
 
Back
Top Bottom