eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Konami walichonifanyia sina hamu, nilikuwa nimefikisha points 1435 nikawa napiga hesabu bado mechi 3, daah mechi iliyofata nimefungwa wakakata point 29 iliyofata nikapata sare wakakata point 5.

Hiyo script yao inatia hasira ila haijaisha mpaka iishe 😂.
Me nishashuka division 3 tena😂😂nimepigwa zangu nikasema oky ngoja ningojee kupanda tena kesho

Kesho si tunaanza division upya😀
 
NEGAN embu nieleweshe kuhusu script kwanza maana nimevurugwa hapa 😂.
Script ni namna Konami wanafanya game liwe entertaining vitu kama kugongwa mwamba, maboko ya beki kujifunga au umebakiza point 10 uende division 2 unapangiwa opponent wa moto ili mradi udondoge point uendelee kucheza game.

Halafu messi mtoe chezesha real striker au kana unataka kucheza na messi muweke kulia Tores kushoto wewe umemuweka kushoto.
 
Basi ndo walichonifanyia mkuu na mara 2 nimeletewa watu collective strength za vikosi vyao haifiki 3000 ila wanagonga mali hakuna 😂.

Kuhusu messi mkuu ni kama vile umenitoa usingizini hata sijui niliwaza nini kumuweka kulia, Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom