Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Kama umekula chuma 3 bila majibu basi kazi ipo 😂.Nimepigwa 3 nunge😃
Kama umekula chuma 3 bila majibu basi kazi ipo 😂.Nimepigwa 3 nunge😃
Nenda tu mkuu 😃Kama umekula chuma 3 bila majibu basi kazi ipo 😂.
Leo sigusi mkuu simu ndo nimeitoa charge, Mr Devil naomba username yako nitume request.Nenda tu mkuu 😃
Kuspin kwenye hizo epic ni kamari mbaya sana, unaweza maliza coins na ukatoka patupu.Hawa legends sijawahi kuwapata kabisa, Hata niki tumia coins 900 kupata wachezaji 10 still siwapati
Kuwapata legend kwa uhakika labda uwe na coin kuanzia 9000. Chini ya hapo ni kamariHawa legends sijawahi kuwapata kabisa, Hata niki tumia coins 900 kupata wachezaji 10 still siwapati
Sicheki na wowote 😂😂😂😂hii ni moja kwa ajili yako kama nilivyosema kaka
Kuna offside zilikuwa sizielewi😀afadhariWakuu hivi mmeona mfumo wa VAR wa semi automated offside technology(SAOT)?
Hawa konami wanabalaa 🔥.
Shukrani sana 😂.Sicheki na wowote 😂😂😂😂hii ni moja kwa ajili yako kama nilivyosema kakaView attachment 3307723
Upo bado??Nani yupo hewani nimchape ⚽️
Wakati nacheza events leo nilikuwa nazitafuta offside ili tu wanichoree huo mstari 😂.Kuna offside zilikuwa sizielewi😀afadhari
Kwenye Pubg kuna hicho kipengele wenzako wanacheza wewe unawastream tuuInabidi uje uwanjani ushuhudie
Ulichukua madrid bila shaka😂Nilifungwa nusu fainal aisee, dharau mbaya sana.
Nimeghairi😀Nimepigwa 3 nunge😃
Legend pekee niliyempata ni Guardiola na yeye kwa kumnuna kwa pesa taslimu zisizopungua afu mbili ya kitanzania 😂😂😂Hawa legends sijawahi kuwapata kabisa, Hata niki tumia coins 900 kupata wachezaji 10 still siwapati
Nakuadd mkuudraxler-tz
Sikumbuki 😂.Ulichukua madrid bila shaka😂
Nimeacha baada ya kuspin mala 3 zote napoteza coins nilizo zikusanya ,Kuspin kwenye hizo epic ni kamari mbaya sana, unaweza maliza coins na ukatoka patupu.
SawaNakuadd mkuu