Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Ile michuano ya timu kubwa duniani ndio niliiipenda sana,
michuano kama ya UEFA hivi
michuano kama ya UEFA hivi
Hawa jamaa wanazidi kutaka kuteka watu kwa hizi update zao.
View attachment 3307347
View attachment 3307354
View attachment 3307355
Wameamua kutuwekea machaguo kwenye efootball league, binafsi siwezi cheza kwenye AI maana inakuhitaji point nyingi kuwa promoted kuliko PvP.