eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ila dharau mbaya sana jana nimepigwa 0-2 kwenye event ya PvP kizembe sana 😂

Nilikutana na mtu binafsi niseme kwa level yangu bado anasubiri, nilikuwa nafika kwenye box lake kabla ya wachezaji wake halafu badala ya kushinda nikawa napiga tu pasi ndani ya box akifika anapokonya mpira anabutua mbele 😂

Kilichonikuta sasa kapata nafasi 2 kwa uzembe wangu ndo hizohizo kazitumia, kwenda kuangalia eti yupo dvn 2 nikawa najiuliza amevukaje dvn 3 kwa mchezo ule 😂
 
Kavuka Kama hivyo Sasa 😂😂
 
Mzaha mzaha hutumbua Usaha
 
Coach Playstyle ni Possession Game 😃😃

Me ninachocheza ni Quick Counter Pro max mode🤣🤣🤣

Yan kila mechi ni mvurugano tuu😃😃😃
Screenshot_20250708-190206.png
 
majukumu yanabana lakini bado napambana.....dvn 3 naona wote wana 100+ kwenye vikosi vyao
 
game karibu 6 nilizopoteza hizi ni sababu jamaa wanavikosi vikubwa naanza kuwafunga lakini wananiletea kina etto na batistuta
 
Attachments

  • Screenshot_2025-07-08-21-09-00-863_jp.konami.pesam.jpg
    Screenshot_2025-07-08-21-09-00-863_jp.konami.pesam.jpg
    367.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom