Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Utapata Wachezaji wazuri week hiigame karibu 6 nilizopoteza hizi ni sababu jamaa wanavikosi vikubwa naanza kuwafunga lakini wananiletea kina etto na batistuta
Utapata Wachezaji wazuri week hiigame karibu 6 nilizopoteza hizi ni sababu jamaa wanavikosi vikubwa naanza kuwafunga lakini wananiletea kina etto na batistuta
hiyo utra defensive tunaset wapi maana naona Hawa wanachomoa sana.Kaza kaza😃😃😃
Yes nahitaji sana wachezaji nilibahatisha savinho ndo anasaidia sana 90% nafasi zinatoka kwake.Utapata Wachezaji wazuri week hii
Kaka hapo hapo kwenye attack na defense setting muda wa mechi unaweka defensive mpaka mwisho zinawaka bars mbili za bluehiyo utra defensive tunaset wapi maana naona Hawa wanachomoa sana.
Aah huyo mzuri ni playmakers mzuri ana speed na acceleration nzuriYes nahitaji sana wachezaji nilibahatisha savinho ndo anasaidia sana 90% nafasi zinatoka kwake.
Ndiyo.Mkuu ndo kuset pale kwenye attacking na defence e?
Watu wako mbele ya muda 😂Kazi kazi babu 🤣🤣🤣kikubwa ushindi twende mbele
Kwa hali hii achana na possession 😂Ona stats za game🤣🤣🤣kama vile Playstyle yangu sio possession game😃😃😃View attachment 3398473
Hahaha hii siwezi kaka....naenjoy kucheza flexible footballKaka hapo hapo kwenye attack na defense setting muda wa mechi unaweka defensive mpaka mwisho zinawaka bars mbili za blue
Sema siyo nzuri usiizoee hutojua game kwa sasa...
Ukishakuwa pro ndo unaweza ukawa unawasha na ukashinda vzr tuu
Amna possession ya huyu kocha ni ya defensive mzee😃😃Kwa hali hii achana na possession 😂
Ila ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana 😂Amna possession ya huyu kocha ni ya defensive mzee😃😃
Me hata nifungwe mia sikimbii mechiIla ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana 😂
View attachment 3398641
Division kwa kiduanzi sana siku hizinime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatari😹😹
Nikirudi kucheza dvn ni mwendo wa weka tuweke 😂nime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatari😹😹
Ubaya ubwela😃Nikirudi kucheza dvn ni mwendo wa weka tuweke 😂
Ukiniwekea smart assist nakuwekea pia, ukiniwashia ultra defensive nakuwashia pia 😂
Mbwa kala mbwa hiyo 😂
Hasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidiIla ukikutana na mtu ukamchakaza hadi akakuzimia taa raha sana 😂
View attachment 3398641
Ya kiboya asee badge ya dvn 2 inani tosha 😹Division kwa kiduanzi sana siku hizi
Mbona ulikuwa Karibu mkuu kaza kaza ikiwezekana na wewe washa😃😃leo upandeHasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidi
Ya kiboya asee badge ya dvn 2 inani tosha 😹
Kama Kuna namna ya kufanya campaign itolewe Division tufanye tuuSmart assist 🚮🚮🚮.