Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 351
- 833
Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?nime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatariš¹š¹
Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?nime achana na dvn asee watu wana tembea na smart assist hatariš¹š¹
KabisaKama Kuna namna ya kufanya campaign itolewe Division tufanye tuu
Only way ya kupumzika ni kulifuta na upate kitu cha kureplace, Lakini kama lipo kwenye simu sahau, Niulize mimišKabisa
Mimi napumzika kucheza hili game
sasa. Ni kama unacheza na watu wawili.
Dah KONAMI watatuuqšOnly way ya kupumzika ni kulifuta na upate kitu cha kureplace, Lakini kama lipo kwenye simu sahau, Niulize mimiš
Alibakiza point chache sana angekomaa leo angetoka na Badge ya division 1Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?
Kabisa yanššš mtu anafanya dribble kama pro vile kumbe smart assist šššKabisa
Mimi napumzika kucheza hili game
sasa. Ni kama unacheza na watu wawili.
š¹jana nime kandwa sana asee nime shuka hadi 1660 saiv ,ilkua napanda hadi 1770 then nashuka tena hadi nikachoka.Umefikia wapi sahizi mkuu, Mbona ulibakisha points chache sana to division 1?
š¹š¹watu wana kimbizana na deadline asee , season ya kesho kutwa tapanda nalo tenaAlibakiza point chache sana angekomaa leo angetoka na Badge ya division 1
Bila kuchoka šUbaya ubwelaš
Huyo mwamba kakimbia hata kipindi cha kwanza hakijaisha, chuma 3 kaona isiwe tabu šHasa akiwa na wachezqji wenye nguvu kubwa kukuzidi
Hapo kwa haraka haraka sio chini ya 300
Ukisikka paah... šHapo kwa haraka haraka sio chini ya 300
Si wenye account yenye gundu tunaendelea tulipoishia
kesho hiyo
View attachment 3399445
Huwa unabahati mkuu unaweza okota hata 10/20 š
Familiya kabisa šššš Konami si wajomba