Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Week😃😃Sijui watakuwa wamempiga ya muda gani 😂
Hii inafanya nikumbuke maisha ya chuo na msemo pendwa “Sup ni ujanja, bila sup hujasoma chuo” 😂
Raha ya Sup uludi kufanya na Cr
Week😃😃Sijui watakuwa wamempiga ya muda gani 😂
Hii inafanya nikumbuke maisha ya chuo na msemo pendwa “Sup ni ujanja, bila sup hujasoma chuo” 😂
Mkuu Vini wa Standard Card anabalaa lake, anagonga rate ga 100.Rudi kucheza na AmF sasa 😃
Yangu nilirudi kufanya na viongozi wakubwa wa serikali ya wanafunzi hadi raha yani 😂Week😃😃
Raha ya Sup uludi kufanya na Cr
Wanamsemo wa kujipa moyo kwamba raha ya Joho uwe umewai kusup, Kucarry na kunusurika kudisco kama hujapitia hayo yote joho ni kama dela tuu 😃Chuo ujinga mwingi anayepata sup kusapua anajiona mwamba kuliko aliyefaulu UE😀
Ukazan hii ni Efootball utaingia bila DMF na utashinda🤣🤣🤣Hiyo nakumbuka kwenye mtihani wa commercial arithmetic wenzangu wameingia na Scientific Calculator mie nikaamini natoboa kwa kichwa 😂
Nikafanya maswali kadhaa yaliyohitaji calculator nikaishia njiani, nikacheka kimyakimya halafu nikajisemea ”Nitarudi kufanya sup” 😂
Hujakutana na Vini wa 101😃😃😃semaa twende mida au kama upo free now twende😃😃Mkuu Vini wa Standard Card anabalaa lake, anagonga rate ga 100.
Ukawa unajiona Nani🤣Yangu nilirudi kufanya na viongozi wakubwa wa serikali ya wanafunzi hadi raha yani 😂
Mkuu huenda ningekomaa ningetoboa, kabla ya mtihani kichwa kilikuwa kinagonga balaa mpaka wakawa wananitafutia panadol 😂Ukazan hii ni Efootball utaingia bila DMF na utashinda🤣🤣🤣
Ngoja nifike mtaani nione kama itapatikana nafasi.Hujakutana na Vini wa 101😃😃😃semaa twende mida au kama upo free now twende😃😃
Nilikuwa nacheka tu maana mtu anaingia room mnaanza kuangaliana ile ya mshangao “Na huyu kasup!” 😂Ukawa unajiona Nani🤣
Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huuMkuu huenda ningekomaa ningetoboa, kabla ya mtihani kichwa kilikuwa kinagonga balaa mpaka wakawa wanajitafutia panadol 😂
Matokeo yanakuja kutoka ni alama 3 tu ndo zimenipa sup, niliumia roho 😂
Ndo mida hiiNgoja nifike mtaani nione kama itapatikana nafasi.
Walikukazia sio😬Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
Acha tu kaka 😃😃😃watu wakiwa na jambo lao huwaambii kituWalikukazia sio😬
Hela wanazitaka kwa lazima 😂Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
Ndo nataka nifungue game hapa.Ndo mida hii
Nililud tu kusupua sikuwa na jinsi tena 😃Hela wanazitaka kwa lazima 😂
Mkuu nahisi haitowezekana kuja room.Nililud tu kusupua sikuwa na jinsi tena 😃
Acha wenge😂😂Rais kafanya nini mbona kala bann?