Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Unabishia matokeo 😂🙌Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
Unabishia matokeo 😂🙌Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo 🤣🤣🤣nilikata adi rufaa mzee kupinga🤣🤣lakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
Wabongo ndo wakamiaji bora ukutane na Wakenya kule muda wowote kinawaka huenda hata anacheza game kwenye maandamano 😂🙌Hawa jamaa ukifungwa wana rudisha point kwa sifa asee😹 div 1 inakua shuhuli, nime weka search iwe near by only ili nikutane na wabongo niwakande
View attachment 3396790
Yan nikose sup mwaka wa kwanza ambapo sijui kitu nije kupata mwaka wa nne kwel🤣🤣🤣Unabishia matokeo 😂🙌
Ana phenomenal pass na visionary Pass mzee noma sana huyu jamaaa🤣🤣🤣Here we go again😒
View attachment 3396956
😹😹ila ime sqidia saivi wanakuja hadi wa 3110 wakati before ilikua ni majamaa ya 3150 kwenda juuWabongo ndo wakamiaji bora ukutane na Wakenya kule muda wowote kinawaka huenda hata anacheza game kwenye maandamano 😂🙌
Tafuta badge ya division one kaka😹😹ila ime sqidia saivi wanakuja hadi wa 3110 wakati before ilikua ni majamaa ya 3150 kwenda juu
😹 apa ume pata jitu A player who tirelessly cover every blade of grass for full 90 minutes,Here we go again😒
View attachment 3396956
Anafika ngapi Theo?Ana phenomenal pass na visionary Pass mzee noma sana huyu jamaaa🤣🤣🤣
Me wamenipa card ya Theo Hernandez mpaka unajiuliza hawaoni kama ninayo 😃😃😃
Wamenipa standard kaka 🤣🤣Anafika ngapi Theo?
😂😂😂Acha wenge😂😂
Jichanganye uone moto, niliwahi weka nearby search, sikudumu nayo maana kuna watu wanakanda hatari 😂Hawa jamaa ukifungwa wana rudisha point kwa sifa asee😹 div 1 inakua shuhuli, nime weka search iwe near by only ili nikutane na wabongo niwakande
View attachment 3396790
Muache akakutane nacho, ataitafuta tena settings 😂Wabongo ndo wakamiaji bora ukutane na Wakenya kule muda wowote kinawaka huenda hata anacheza game kwenye maandamano 😂🙌
Anachukulia poa wabongo😬.Muache akakutane nacho, ataitafuta tena settings 😂
Hili pira nyoka limekaaje 😂Nikiona mtu kavaa jersey za hii team nakuwa na hasira sana😒.
Leo nilikuwa nacheza league full kuclear ball usiombe niongoze😅
View attachment 3397255
Kwanza unakutana na watu wamenunua vikosi halafu wanakamia vibaya mnoo 😂Anachukulia poa wabongo😬.
Saizi unakuta Mbappe amevaa jersey ya Tanzania anakukamia effectivelyKwanza unakutana na watu wamenunua vikosi halafu wanakamia vibaya mnoo 😂
Ila kumvalisha Mbappe jezi ha Tanzania ni dharau iliyopitiliza 😂Saizi unakuta Mbappe amevaa jersey ya Tanzania anakukamia effectively
Mahabusu ipi?😂😂😂
Habari za mahabusu mkuu?