Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,068
- 12,607
Sinunui huyo kipa mimi 😂Wewe umemnunua
Me napenda Anchorman ila wewe makipa😂😂😂watakuua
Mimi nataka AG ila awe epic au akiwa showtime basi awe na rate kubwa 🙌
Sinunui huyo kipa mimi 😂Wewe umemnunua
Me napenda Anchorman ila wewe makipa😂😂😂watakuua
Ushamchezea? Jamaa ni mnoma 🙌Nimenunua kwenye account mbili kabisa nachange server naweka Kenya then namchukua mia tisa zangu Zitaenda kwa Destroyer