eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Attachments

  • Screenshot_20250611_222935_eFootball.jpg
    Screenshot_20250611_222935_eFootball.jpg
    101.7 KB · Views: 2
Nijuze mkuu naomba
Hii ni kwa ajili ya kuwaongezea Uwezo wachezaji...😃 Ni kaka trainings fulani ili wajae haraka mfano kama messi ukiwa na kocha mzuri anafika 101...

Sasa hii ukienda kwenye game plan unamgusa mchezaji husika itakuja menu kama hivi level training ni namba 3
Screenshot_20250611-222734.png
ukibonyeza hapo zipo level training kama nne ya kwanza kabisa ni ya Elfu kumi sio hela ni uwezo wake utazitumia kadri ya ulizonavyo
Screenshot_20250611-222937.png
unabonyeza hapo kwenye mstali wa blue pemben kwenye kimshare...


Nikushauri kitu tumia hii kwa wachezaji ambao sio standard mfano kwenye kikosi chako Tumia kwa Kane, Messi, trent, Timber, foden, ronaldo na wengine wale wote ambao box lao lina rangi mfano ukimuangalia Victor Osimhen, Messi, trent, ronaldo utaona utofauti zidi ya Caicedo, Robertson na wengine hapo kwenye team yako hawa usitumie maana uwezo wake ni mdg hawezi fika ratings kubwa kama 99 na kuendelea
Screenshot_20250611-223206.png
 
Hii ni kwa ajili ya kuwaongezea Uwezo wachezaji...😃 Ni kaka trainings fulani ili wajae haraka mfano kama messi ukiwa na kocha mzuri anafika 101...

Sasa hii ukienda kwenye game plan unamgusa mchezaji husika itakuja menu kama hivi level training ni namba 3View attachment 3365041 ukibonyeza hapo zipo level training kama nne ya kwanza kabisa ni ya Elfu kumi sio hela ni uwezo wake utazitumia kadri ya ulizonavyo View attachment 3365054unabonyeza hapo kwenye mstali wa blue pemben kwenye kimshare...


Nikushauri kitu tumia hii kwa wachezaji ambao sio standard mfano kwenye kikosi chako Tumia kwa Kane, Messi, trent, Timber, foden, ronaldo na wengine wale wote ambao box lao lina rangi mfano ukimuangalia Victor Osimhen, Messi, trent, ronaldo utaona utofauti zidi ya Caicedo, Robertson na wengine hapo kwenye team yako hawa usitumie maana uwezo wake ni mdg hawezi fika ratings kubwa kama 99 na kuendelea View attachment 3365067
Uyu jamaa ni pro tayari kasoro kikosi tu😹😹 Kandambili1
 
Back
Top Bottom