Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Sawaa mkuu😃Nipo offline mkuu.
Sawaa mkuu😃Nipo offline mkuu.
Anawapanga huyu kinoma kila nikichungulia nakuta formation mpya anayoEndelea kumpa mafunzo master ila kubwa zaidi usisahau kumuelekeza kupanga wachezaji kwa kufuata playing style zao kwa kulingana na tactic(team playstyle).
Atafute formation 1 atulie kwakuwa bado noob bila hivyo inaweza mchukua muda kucheza vizuri.Anawapanga huyu kinoma kila nikichungulia nakuta formation mpya anayo
Huyu sio Noob mzee ana Upro fulani...Atafute formation 1 atulie kwakuwa bado noob bila hivyo inaweza mchukua muda kucheza vizuri.
Mimi nilianza na LBC mkuu na ndo nilikuwa naiweza ila baada ya kuanza kucheza playstyle zingine sasahivi imekuwa inanisumbua.Huyu sio Noob mzee ana Upro fulani...
Saiv anacheza LBC hakuna Noob ambaye atakuja aanze kucheza game akachagua LBC ni possession game au Quick counter
View attachment 3365130
Shukrani mkuu... ndio ndio nimeona vikosi vya wenzanguNimekupa maelekezo ya kuongeza
Nadhan umejua kuwatofautisha standard player na wachezaji wengine wakubwa...
Standard ata usikomae nao sana maana soon tuu utawatoa wote...
ShukranRam kubwa iyo labda uwe una crear ma file ulio ingia ingia cm isiwe nzito
Hio mbona hata high graphics unacheza smooth. Sema fps lazima iwe 60R
Ram 12 mkuu (8+4)
Shukrani nitaweka 60 nione niliweka 30Hio mbona hata high graphics unacheza smooth. Sema fps lazima iwe 60
Kheeh😃😃🙌🙌🙌mnawezaje kuchagua LBC mapema hivyoMimi nilianza na LBC mkuu na ndo nilikuwa naiweza ila baada ya kuanza kucheza playstyle zingine sasahivi imekuwa inanisumbua.
Username yako na mimi niku addR
Ram 12 mkuu (8+4)
Na mimi ngoja niweke hii😃😃Weka hivi kama mimi u enjoy game. Hata Razorblade jaribu hii View attachment 3365157
Mbona framerate wanasema niweke 15Weka hivi kama mimi u enjoy game. Hata Razorblade jaribu hii View attachment 3365157
Anatumia Kandambili1Username yako na mimi niku add
Hii smooth sana ila sasa sura za wachezaji zinakua kama katuni😀Na mimi ngoja niweke hii😃😃
Nilijaribu kuweka kwa 15 baadhi ya animation kwenye ku dribble zikawa zinachelewaMbona framerate wanasema niweke 15
Barida tuu hakuna neno😃game inalag sana kwangu nikicheza game tatu nne lazima nitoke niende kuclear cacheHii smooth sana ila sasa sura za wachezaji zinakua kama katuni😀
Ngoja niache 30 kwanzaNilijaribu kuweka kwa 15 baadhi ya animation kwenye ku dribble zikawa zinachelewa