eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nimekupa maelekezo ya kuongeza


Nadhan umejua kuwatofautisha standard player na wachezaji wengine wakubwa...

Standard ata usikomae nao sana maana soon tuu utawatoa wote...
Endelea kumpa mafunzo master ila kubwa zaidi usisahau kumuelekeza kupanga wachezaji kwa kufuata playing style zao kwa kulingana na tactic(team playstyle).
 
Back
Top Bottom