Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,114
- 2,948
Badae naomba friend match kaka nijipime....ila jua nikikufunga hapa hapatakalika hahahahaha😂😂mkuu dvn huwa nacheza kuboresha skills ila sio kukomaa nipande maana sessions ikiisha unarudishwa uliko anzia na mala zote huwa simalizi sessions.